ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,603
Mkuu hatuwez jua labda wanajipanga na pia kufanya hvyo labda pia ni katka kurahisisha huduma zao.Kwanini tututmie platform ya kampuni nyingine? Kina washinda nini kuweka yao? Kumbuka hii ni kampuni kongwe kuliko zote za mawasiliano hapa Tanzania.
Ila TTCL wapunguze wazee waweke vijana, nakumbuka kuna siku nilienda kusajili line pale duka lao la Mwananyamala nikaambiw et Network hakuna nikaenda DIT kwenye vibanda hiv vya wasajili line nikasajiliwa, cjui ttzo lao ni nin?