Tanzania yenye Neema: Madini ya Almasi yagunduliwa mkoa wa Singida

OK!mm nlifikaga huko kwenye machimbo ya zircon,na zircon kitaalam Ina tabia za almasi especially kwenye hardness!
Jamaa yangu alipataga Jiwe huko akamuzia msrilanka mmja anaitwa premas...dar,premas akalinunua na akaenda nalo kuliuza uswizzz Jiwe hilo.
Mkuu Tanzania kuna baadhi ya maemeo nikichimba dhahabu zipo layer ya juu kima cha mita 100
 
Kugundua ni hatua moja na kuchimba ni hatua nyingine
Madini ya Almasi yamegunduliwa katika mkoa wa Singida.Hayo yamesema na kamishna wa madini. Hata hivyo uchimbaji wa madini hayo mkoani hapo hayajaanza kuchimbwa.

Chanzo: Magazeti asubuhi

Rai yangu ni kwamba iwekwe mikakati thabiti kuhakikisha madini hayo yanakuwa msaada kwa watanzania sana sana mkoa wa Singida ambao ni mkoa masikini Tanzania.

Sitegemei kuona wanasiasa wanaanza kujimilikisha vitalu ili kunufaisha mitumbo yao na familia zao.
 
Tuzilinde rasilimali zetu kwa gharama yoyote kwa manufaa ya Taifa letu,sasa na baadae.
 
Back
Top Bottom