Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Kutekana kuuana kudhulumu kura.
 
Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Kwani bila wao kuna chochote unaweza mkuu?

Wanakupa ARV, chandarua, madawa na kuna baadhi ya vyoo vya primary vina logo yao kuwa wametusaidia

Wanakupa pesa ujenge hizi SGR

Wanakupa pesa za mikakati ya kuzuia na kupunguza umasikini, barabara, madaraja na vivuko

Kiufupi mkuu hakuna jambo lolote utafanya bila wao.
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Mama anaupiga mwingi.
 
Una miaka mingapi chifu ?
Hakuna kitu bora kama mahusiano na watu au taifa kwa taifa, hali ya usalama nchini ni tete sasa si unakuwa unaleta taharuki kwa watu.
Haya makapuku yakikaa huko kijijini kwao Madongo kuinama wala hata hayajui faida za ushirikiano kati ya nchi zilizo endelea na zinazo endelea.

Yenyewe yakishakunywa wanzuki zao na kulewa ndio yanakuja hapa kutapika pombe zao kwamba Marekani haina msaada wowote kwetu.
 
Back
Top Bottom