Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Kwani tusipoenda marekani tutakufa?

Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Mpumbavu na uzalendo mavi angalia nchi zilizotengwa nao kama Iran na North Korea hali ya maisha na uchumi wa nchi hizo. Hii ni reminder kuwa mfumo wa utawala una walakini nchi inaongozwa na washenzi dawa ni kuangalia utawala wenu wa kiimla
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Achana nao hao Wazee wa upinde
 
Mpumbavu na uzalendo mavi angalia nchi zilizotengwa nao kama Iran na North Korea hali ya maisha na uchumi wa nchi hizo. Hii ni reminder kuwa mfumo wa utawala una walakini nchi inaongozwa na washenzi dawa ni kuangalia utawala wenu wa kiimla
Kwa hili ccm linatuhusu,wizi na ufisadi uchaguzi wa hovyo usio na uwazi.
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Limacho kumchuzi linarembua kila mahali litaumia na jinsi linavyopenda kujinafasi huko nje na viingereza chekecheke style! Kenya wameenda ICC na hili limdebwedo haliponi subiri!!

Kuna watu wanajibu kama wamekatwa vichwa kiwiliwili kimeanza kuoza.

Hii ni ujumbe kwa serikali sio wananchi wa kawaida.

Hii inaonyesha nchi imekata kona mahali fulani. Haki za binadamu ukatili wa watawala na mengine mengi inapelekea kutoa taarifa kama hizi.

Marekani ndio Mkuu wa dunia tutake tusitake ni hivyo..

Hii taarifa inawahusu watekaji madhulumati walioko madarakani. Ugumu wa kuelewa hili uko wapi?

Anayesema Marekani haina inachosaidia umelewa mbege ya asubuhi! Dawa za kurefusha maisha kwa waathirika utatengeneza wewe?
 
Aliyekwambia Marekani inatuhitaji sisi ni nani?

Niambie ni nini Tanzania iliwahi kuipa Marekani?

Dola tu ikiadimika hapo Tanzania hadi BOT inaanza kulia lia watu msifiche dola.

Halafu wewe kajamba nani,unakuja kuandika mashudu.

WHO, IMF, World Bank na mashirika mengine makubwa ya wazungu wakisitisha huduma zao hapa nchini, Utaona watu mtakavyo anza kujamba jamba.
😹😹😹 min -me
 
Tatizo hapa ni lugha. Kilichoandikwa na ulichoandika ni vitu viwili tofauti
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Wasiojulikana wametusababishia hayo
 
Back
Top Bottom