Kiyoya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,735
- 972
Ingekuwa hivo USA wasingejihangaisha na Waarabu,China na RussiaBoresha bandari na miundo mbinu, wala hutakua na haja ya kuhangaika nani rafiki yako wala nini. Jameni Wabongo mtaamka lini na kuelewa biashara haina urafiki wala undugu ila maslahi tu. Sasa badala ya kutia bidii kuboresha miundo mbinu ya kuwafikishia hao Wakongoman mizigo yao kwa wakati, mpo busy kulalamika eti matatizo ya Burundi yapo kwa ajili ya kuwazuia kibiashara.
Muendelee kusubiri hapo mkilia lia wakati sisi tupo mbioni kuikamilisha reli ya kisasa hadi kwa Kagame, na hapo tunaunganisha hadi kwa hao Kongoman