Habari kutoka chanzo kisicho rasmi sana.. inasemekana ATCL inategemea kuleta ndege 5 (regional jets) aina ya Bombadier zenye uwezo wa kubeba abiria 50 hadi 70 ili kufufua biashara yake hasa kwa safari za ndani na nchi za jirani.
Fedha hiyo inasemekana ni mkopo toka TIB..
Roho mbaya haijengi, sina hakika na uwezo wako wa kufikiri, maake pointing zako nyingi ni fitna kama za wake wenzaKama ni kweli safi sana lkn kwanza FastJet ni lazima wasepe, iwe kwa hujuma ya moja kwa moja au ya chini chini lkn ni lazima waondoke kwetu ili Ndege yetu iweze kumea na kukua, yaani soko la ndani kwa asilimia zaidi 90% liwe la ndege yetu!
Roho mbaya haijengi, sina hakika na uwezo wako wa kufikiri, maake pointing zako nyingi ni fitna kama za wake wenza
Unamaanisha nchi hahihitaji wawekezaji binafsi kisa serikali inafufua ndege zake? Unahisi kwa karne hii tunahitaji kuwa na shirika moja pekee la serikali/ umma kuhudumia wananchi?Hiyo unayoita roho mbaya mimi naita Uzalendo, na ndiyo unaojenga nchi!
Habari kutoka chanzo kisicho rasmi sana.. inasemekana ATCL inategemea kuleta ndege 5 (regional jets) aina ya Bombadier zenye uwezo wa kubeba abiria 50 hadi 70 ili kufufua biashara yake hasa kwa safari za ndani na nchi za jirani.
Fedha hiyo inasemekana ni mkopo toka TIB..
Isije ikawa kama mv dar lakiniHabari kutoka chanzo kisicho rasmi sana.. inasemekana ATCL inategemea kuleta ndege 5 (regional jets) aina ya Bombadier zenye uwezo wa kubeba abiria 50 hadi 70 ili kufufua biashara yake hasa kwa safari za ndani na nchi za jirani.
Fedha hiyo inasemekana ni mkopo toka TIB..
Ole wako iwe unatudanganya mkuu. Nimeshaweka oda ya keki kwa sherehe ya kukaribisha ndege.Habari kutoka chanzo kisicho rasmi sana.. inasemekana ATCL inategemea kuleta ndege 5 (regional jets) aina ya Bombadier zenye uwezo wa kubeba abiria 50 hadi 70 ili kufufua biashara yake hasa kwa safari za ndani na nchi za jirani.
Fedha hiyo inasemekana ni mkopo toka TIB..
Ha ha ha jf bhana.Ole wako iwe unatudanganya mkuu. Nimeshaweka oda ya keki kwa sherehe ya kukaribisha ndege.