Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,657 20,940 May 10, 2017 #1 Nimetembelea leo web yenu inaniambia imexpire leo i hope mtarudi hewani mapema na aliyezembea hadi imeexpire ajirekebishe anaitia benki aibu.
Nimetembelea leo web yenu inaniambia imexpire leo i hope mtarudi hewani mapema na aliyezembea hadi imeexpire ajirekebishe anaitia benki aibu.
N nandengele JF-Expert Member Dec 28, 2015 689 803 May 11, 2017 #2 Red Giant said: nimetembelea leo web yenu inaniambia imexpire leo. i hope mtarudi hewani mapema. na aliyezembea hadi imeexpire ajirekebishe. anaitia benki aibu. Click to expand... Sasa unashangaa nini kama maprof wenyewe tia maji tia maji (vilaza) tu, elimu ya bongo sio nzuri kukariri kwingi.
Red Giant said: nimetembelea leo web yenu inaniambia imexpire leo. i hope mtarudi hewani mapema. na aliyezembea hadi imeexpire ajirekebishe. anaitia benki aibu. Click to expand... Sasa unashangaa nini kama maprof wenyewe tia maji tia maji (vilaza) tu, elimu ya bongo sio nzuri kukariri kwingi.