Tanzania inahitaji mapato ya trilioni 2.4 kila mwezi ili kufikia lengo la bajeti ya trilioni 29

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Ni wazi kwamba bajeti haitekelezeki na imewekwa kama njia ya kutafuta political mileage.
Makusanyo ya mwezi ya nchi ni kama trilioni moja,kwa Mwaka mzima wa fedha ni kama trilioni 12,hapa linabaki gepu la trilioni 17 ambazo upatikanaji wake haueleweki!!!!

Bajeti iliyopo haitekelezeki,ni wishful paperwork

Kila mwezi kutakuwa na upungufu wa trilioni moja nukta nne,
 
....mtabakia kukimbizana na vijitu vidogo vidogo mitaani---JKN.

• lazima bandari ifanye kazi kwa 100%,kasoro na fubaisho litazamwe,nini kikwazo.

• madini yetu yanatunufaisha kwa thamani yake? halisia bila upotevu?

• Utalii lazima uoperate kwa 100% kodi sumbufu ziondolewe au zipunguzwe kabisa ili ikiwezekana tuishinde Kenya.

• Nguvu kubwa iwekwe katika kuanzisha kiwanda cha chuma mchuchuma and not a series of unfuture Industries....

add strong features that can be organs to our nations.
 
mkuu bajeti yetu inatokana na mapato ya ndani na misaada kutoka nje,na sio bajeti yote inatokana na mapato kutoka ndani labda ungeelewa hilo kwanza.......
Huko nje sasa!!!!!!!!!!
Muandae majibu kwa waandishi wasiobanwa na "sheria ya makosa ya mtandao"
 
Kuna wajomba zako huko eti? Wameshakuwekea hela Mtoto mzuri ukilia tu zinakuja
sasa kama hakuna mjomba yangu huko mbona karibu kila mwaka wakiahidi wanaleta kama walivyoahidi??kwa kukusaidia tu juzi japani waliisaidia tanzania bil.kadhaa hivi
 
There are two sources of revenue for govt
Tax revenue sources
Non tax revenue sources eg. Grants,fines,bond,royalt
12 tirion expected only from tax revenue sources
# No data No right to speak
 
Unaonekana weww ni mwajiriwa, kwa mjasiliamali haoni tatizo hapo. Kama nchi ikiwa na mawazo yako hatuwezi kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…