Tangazo la kuitwa kwenye usaili wa vitendo!

TPA

Member
Sep 28, 2016
49
71
MPYA!

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA VITENDO!



Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatarajia kuendesha Usaili wa Vitendo kwa wasailiwa waliofaulu usaili wa mchujo.

Usaili utafanyika siku ya tarehe 02-05-2017 katika Taasisi ya Teknologia Dar es Salaam (Dar es Salaam Institute of Technology-DIT)

Tafadhali tembelea tovuti yetu hapo chini kusoma namba za mtihani 'examination number' za waliofaulu usaili wa mchujo na kwenda kwenye hatua ya Usaili kwa Vitendo:

http://ports.go.tz/index.php/en/careers
 
Kada zingine mnawaita lini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…