Tangazo kutoka BAVICHA

CHADEMA imekuwaje mkamuamini mtu msaliti mpaka kumpa dhamana ya kuwania urais?

Na kama mmeweza kufanya hivi awali, tutaamini vipi kwamba hamuwezi kufanya hivi tena?

....

.....Mkuu naamini katika majina haya Tundu Antipas Mughuay Lissu, Peter Msigwa
 
Mkuu umeandika idadi ndeefu ya unaowadhania kuwa watakuwa miongoni mwa majina ambayo yapo mfukoni mwa Mwenyekiti Mbowe. Lakini sasa unapokuja kwenya kwenye sifa naona umewalenga Lowassa na Sumaye tu basi. Na kwa jinsi mambo yalivyo sioni Lowassa akipewa hayo madaraka hivyo basi lengo lako limejikita kwa Sumaye. Japo hapo pia kuna tatizo kwa kuwa siamini kama Mwenyekiti atakubali kuwa na Katibu ambaye ni maarufu kuliko yeye na ambaye ni kama mkimbizi aliyekimbilia Chamani toka kwa mahasimu; anaaminika?
Mkuu Kimbunga,

Uhalisia uliopo ni kuwa Chadema kwa sasa ipo chini ya Lowassa na wewe ndiyo mwenye sauti ya mwisho siwezi kushangaa kama atajipa Ukatibu Mkuu.
 
Jina kuwa mfukoni mwa Mwkt si hoja maana hata JPM alikaa na jina la waziri mkuu mfukoni hadi sekunde ya mwisho. Lakini Mbona JK amemuweka mrithi wake ambaye ni maarufu kuliko yeye!
Mawee!! vijana hamuelewi, JPM hakuwekwa na JK, JK alitaka kumuweka Mhe Membe, JPM (Rais Dr Magufuli) in reality aliwekwa na watu wawili ------- Mhe Mkapa na Mhe Lowassa, mengine yote ni historia na blaablaa tu. Hii ndiyo the correct analysis(thesis yangu).
 
Back
Top Bottom