TANESCO wamepandisha umeme?

Unknown2

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
2,347
5,017
Wakuu, leo nimeenda kununua umeme nikapata unit 22.9 kwa elfu kumi. Wiki tatu zilizopita nilipata 28.2 kwa elfu kumi.

Sasa ina maana umeme umepandishwa kimya kimya? Rais wetu kwa uchungu kabisa si alikataza kupandishwa kwa umeme?
 
Nani anamjua mtu yeyote mkweli na msafi ccm?
 
Wakuu, leo nimeenda kununua umeme nikapata unit 22.9 kwa elfu kumi. Wiki tatu zilizopita nilipata 28.2 kwa elfu kumi.

Sasa ina maana umeme umepandishwa kimya kimya? Rais wetu kwa uchungu kabisa si alikataza kupandishwa kwa umeme?
Kutakua na shida,
Maana mi i nimenunua jioni hii, Tshs 40,000/= nimepata Units 112, means kila Unit 28 ni Tshs 10,000/=
 
Tunaomba namba yako ya mita tarehe uliyonunua na kiasi ulicholipa ili tukupatie ufafanuzi
Units 22.9 Kwh
Total unit cost : Tsh6682.28
Debt Recovered : Tsh1847.63
Fixed Amount : Tsh 0.00
Tax (VAT187, EWURA 17, REA 37) : Tsh 1470.09

Total cost : Tsh 10000.00

Sikuwa na debt yoyote mimi.
 
Debt recovered ni tsh 1847.63 yaani ni deni.unalodaiwa lolopelekeamkipata unit chache za umeme.
 
Units 22.9 Kwh
Total unit cost : Tsh6682.28
Debt Recovered : Tsh1847.63
Fixed Amount : Tsh 0.00
Tax (VAT187, EWURA 17, REA 37) : Tsh 1470.09

Total cost : Tsh 10000.00

Sikuwa na debt yoyote mimi.
Tunaomba namba yako ya mita mkuu ili unachosema tukione
 
Wakuu, leo nimeenda kununua umeme nikapata unit 22.9 kwa elfu kumi. Wiki tatu zilizopita nilipata 28.2 kwa elfu kumi.

Sasa ina maana umeme umepandishwa kimya kimya? Rais wetu kwa uchungu kabisa si alikataza kupandishwa kwa umeme?
Mie nimenunua leo wa elfu 25, units 70.2 ambazo nimekuwa nazipata kila ninunuapo umeme wa bei hiyo na tangu walipoondoa service charge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…