IlangiKwetu
Member
- Oct 9, 2014
- 85
- 33
Warudi wakati wameshaacha kazi rasmi? Huu utaratibu wa kuondoa wafanyakazi kwanza kazini ndipo usafishe register ya waajiriwa inaonyesha udhaifu. No waonder watanzania wanatakiwa waache siasa ili serikali ifanye kazi. Niliamini ubongo wa binadamu una uwezo wa ku-organize na ku-sort complex issues. Yaelekea kwa bongo za wabongo it's impossible.Warudi tena huko waliokuwa waendelee na kazi hadi serikali itakapowaita
Serikali ya hovyo wanakurupuka,,hawatulii kama basi wanashika hapa hawamalizi wanashika pale.
kama mimi nimeajiriwa hii june sijapewa hio barua ya kurudi nipo tu yaani hata sielewi kinachoendeleatupo home mpaka watakapo amua vinginevyo.....
mtu ushaanza kazi unarudi home ...
aisee omba yasikukute...
Wewe ndoo unakurupuka kuchangia rudi kajipangeSerikali ya hovyo wanakurupuka,,hawatulii kama basi wanashika hapa hawamalizi wanashika pale. Hiyo ndo nitolee hao vijana wajiandae kisaikolojia kuanza upya. Serikali haina pesa inasingizia watumishi hewa. Waliwalipa kwel?
Nijipange mimi au serikali yako?.siku ingine muhakikishe muna pesa ya kuwalipa ndo muajiriWewe ndoo unakurupuka kuchangia rudi kajipange
Nijipange mimi au serikali yako?.siku ingine muhakikishe muna pesa ya kuwalipa ndo muajiri
Sio kuwasumbua hivi watoto wa watu
Mkuu hata mm kuna shirika la Umma nimeajiriwa hiyo June ila na m salary ya June sikupata na hawajanambia nirudi home..kama mimi nimeajiriwa hii june sijapewa hio barua ya kurudi nipo tu yaani hata sielewi kinachoendelea