Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,426
Nipo mkuuMkuu upo
Habari
Nipo mkuuMkuu upo
Unapenda kuchekaaaaaaa
Fresh Mkuu, vyeti vyako viko safi mkuu?Nipo mkuu
Habari
Usiwe na shaka, nadhani wakitaka kuonyesha sample ya vyeti og watatumia cha kwanguFresh Mkuu, vyeti vyako viko safi mkuu?
HapanaLabda moshi
HatombekiWakuu wengi wetu hatujui historia ya koo zetu Na namna tulivyokuja kuzaliwa,wengi wetu huishia kumjua babu Ana bibi tu,basi Leo tudadavue
Asili ya koo zetu,
Maana tusipo Fanya hivyo ni rahisi sana watoto wetu kukosa jua historia yao,
Na mwanzo mzuri ni sisi kujitambua zaidi.
Kwa hiyo asili ya ukoo wenu .
Tukianza Na Mimi babu yangu mzaa babu alikuwa mfugaji pande za Rwanda mtusi alie kuwa mkarimu,alioa wake zaidi ya watano,alioa wake 5,baadae watoto wake wawili akiwepo babu walijipenyeza pande za karagwe enzi za mkama rumanyika,basi toka hapo ukoo umeendelea hadi sisi kuzaliwa
Karibuni.
Dada sakayo. Mzima wewe?Nipo mkuu
Habari