Taja jina la babu yako mzaa babu yako

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
8,413
12,328
Wakuu wengi wetu hatujui historia ya koo zetu Na namna tulivyokuja kuzaliwa,wengi wetu huishia kumjua babu Ana bibi tu,basi Leo tudadavue
Asili ya koo zetu,
Maana tusipo Fanya hivyo ni rahisi sana watoto wetu kukosa jua historia yao,
Na mwanzo mzuri ni sisi kujitambua zaidi.
Kwa hiyo asili ya ukoo wenu .
Tukianza Na Mimi babu yangu mzaa babu alikuwa mfugaji pande za Rwanda mtusi alie kuwa mkarimu,alioa wake zaidi ya watano,alioa wake 5,baadae watoto wake wawili akiwepo babu walijipenyeza pande za karagwe enzi za mkama rumanyika,basi toka hapo ukoo umeendelea hadi sisi kuzaliwa
Karibuni.
 
Au ndio maandalizi ya uhakiki wa uraia kwa watumishi!!! Huooo unakujaaaa.....nchi ndogo ila sarakasi zake usipimeeee!!! United states of america akasomeee!!!!
 
Kwa sasa hivi mkuu uko wapi nyie ndo tunaowatafuta wahamiaji haramu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…