Marekan analijua hlo ndo maana mwak Jana Dec kawauzia Taiwan advanced aegis destroyer kwa ajili ya kushot down ballistic missiles ,Tomahawk missiles,etc.....mchina kapga kelele weeeee lkn hakuambulia kitu na ishu ya Taiwan itakua ngum kushinda cremia maana jeshi la Taiwan sio lele mama na miaka ya hv karibun wameongeza defence bajet yao ili kuAdvance zaidHapa Uchina wakibugi yatatokea yale yale ya Urusi na Chechnya.
Ila duuh Marekani ni wazee wa Figisu sana yote hii ni kumtafutia Uchina sababu ya kugombana naye.
Marekan analijua hlo ndo maana mwak Jana Dec kawauzia Taiwan advanced aegis destroyer kwa ajili ya kushot down ballistic missiles ,Tomahawk missiles,etc.....mchina kapga kelele weeeee lkn hakuambulia kitu na ishu ya Taiwan itakua ngum kushinda cremia maana jeshi la Taiwan sio lele mama na miaka ya hv karibun wameongeza defence bajet yao ili kuAdvance zaid
Taiwan haiwezi kusimama na Uchina vitani....lakini purukushani za vita zitayumbisha sana uchumi wa China ambao unaonekana kuwanyima raha na Wamarekani.....nadhani ndio sababu inayowafanya Wamarekani waishabikie vita hii.....kwani itawageuza wachina kuwa wanunuaji wazuri wa bidhaa za nche kwani shughuli nyingi za viwandani zitaathiriwa na harakati za vita.....Je ,Taiwan inaweza ikasimama peke kijeshi dhidi ya Uchina?
Kusema ukweli Taiwan haiwez kusimama na China bila msaada wa USA Ila kuwasumbua itawasumbua sana maana jeshi Lao limeadvance kidogo(jeshi Lao lipo kwenye top 20 ya majeshi bora dunian)Je ,Taiwan inaweza ikasimama peke kijeshi dhidi ya Uchina?
Marekani atamsaidia kwy vita ni hivyo mwezi uliopita waliwauzia silaha kalTaiwan haiwezi kusimama na Uchina vitani....lakini purukushani za vita zitayumbisha sana uchumi wa China ambao unaonekana kuwanyima raha na Wamarekani.....nadhani ndio sababu inayowafanya Wamarekani waishabikie vita hii.....kwani itawageuza wachina kuwa wanunuaji wazuri wa bidhaa za nche kwani shughuli nyingi za viwandani zitaathiriwa na harakati za vita.....
Huo ni mtazamo wangu...
pia wanamkataba wa taiwan kusaidiwa endapo watavamiwa china mainlandMarekani atamsaidia kwy vita ni hivyo mwezi uliopita waliwauzia silaha kal
Haitotokea hata siku moja China iivamie Taiwan kijeshi itaishia na mikwara yake kongwe ya miaka na miaka..Taiwan imeisaidia sana China kusimama kibiashara na kitekinolojiaToka mwaka 1949 Taiwan ilivyojitenga na China bodo nchi hiyo inagoma kuutambua Uhuru wa Taiwan hali ikifikia kutishia kutumia nguvu ya kijeshi endapo Taiwan itazidi kujitangazia Uhuru wake!....Uchina ana hofu ya nini?
Rais wa Uchina Xi Jinping ameonya kuwa kamwe hatairuhusu 'Jimbo la Taiwan' kuwa taifa huru.
Matamshi ya bwana Xi yamekuja miezi miwili baada ya kisiwa hicho kumchagua raisi mpya Tsai Ingwen.
Rais huyo mteule ataapishwa mwezi Mei mwaka huu.
Taiwan ilijitenga toka China mwaka wa 1949 baada ya kumalizika kwa vita vya wenyeye kwa wenyewe.
Tangu hapo Taiwan inajitawala yenyewe lakini mataifa mengi hayajatambua utaifa wao.
Uchina imeionya Taiwan kwamba itatumia nguvu endapo itaendelea na harakati hizo za kujitangazia kuwa taifa huru.
Marekani anatambua fika hata akimpa msaada wa aina gani Taiwan hawezi kusimama na uchina ila lengo lake kuuparua uchumi wa china basi wala si kumpa ushindi yown.Taiwan haiwezi kusimama na Uchina vitani....lakini purukushani za vita zitayumbisha sana uchumi wa China ambao unaonekana kuwanyima raha na Wamarekani.....nadhani ndio sababu inayowafanya Wamarekani waishabikie vita hii.....kwani itawageuza wachina kuwa wanunuaji wazuri wa bidhaa za nche kwani shughuli nyingi za viwandani zitaathiriwa na harakati za vita.....
Huo ni mtazamo wangu...
Lakini ulionaje uchumi wa Urusi ulivyoyumba?wachina nao wapole san,urusi ujing kam huu uwezi ukasikia maan kilichotokea chechna ilikuw na balaa
Bora wewe umetukumbusha kuwa tusishualie ya wenzetu wakati sisi wenyewe tuna matatizo makubwa pengine kuzidi hayo ya Taiwan na ChinaMi ninafikiria zenji tu kumbe hadi huko