Loveleads
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 201
- 222
Kwa hiyo hapo wako kanisani wanatoa kafara! kuwa nchi ya kikatoliki ndio uwezi kukutana na roho chafu,we ukivaa baibui au kanzu nyeupe na kilemba ndio tukuamini una roho safi.We mama inaonyesha unaishi kwa kutumaini macho ya nyama zaidi ya macho ya kiroho.Wacha kutukana wanawake wewe, huyo si mgeni yupo kwao, hiyo ni Brazil, nchi kubwa ya kikatoliki duniani.
Jee, si makafara ya kanisa hayo?