Kwa sheria gani, watu waache ujinga, vyeti vya ndoa havina tija ktk ujenzi wa nchi hiiHabari zinazoendelea kusambaa.
Kuna msako endelevu Wa kupita katika maguest house unaofanywa na manispaa hususani TEMEKE. Mgambo hupita wakikagua vyeti Vya ndoa endapo mtakutwa jinsia mbili tofauti, Kwa wale ambao hawajafunga ndoa unapaswa kuonyesha Barua ya mjumbe wako kuwa wewe ni Mme na Mke. Pamoja hayo Kwa wasafili unalazimika kuonesha tiketi yako . na pindi unapokutwa huna vigezo hivo unalazimika kushitakiwa na manispa.
Hakuna sheria yoyote ile Tanzania(bara) inayotaja UZINZI kama kosa la JINAI!Habari zinazoendelea kusambaa.
Kuna msako endelevu Wa mgambo Wa manispaa kupita katika maguest house hususani TEMEKE. Mgambo hao wanapita hususani usiku wakikagua vyeti Vya ndoa endapo mtakutwa jinsia mbili tofauti, Kwa wale ambao hawajafunga ndoa unapaswa kuonyesha Barua ya mjumbe wako kuwa wewe ni Mme na Mke halali. Pamoja na hayo Kwa wasafili unalazimika kuonesha tiketi yako . na pindi unapokutwa huna vigezo hivo unalazimika kushitakiwa na manispa.
Hakuna sheria yoyote ile Tanzania(bara) inayotaja UZINZI kama kosa la JINAI!
Ndugu,kosa la JINAI ni kosa ambalo limeorodheshwa na sheria no 16 ya mwaka 2002!Unamaanisha nini unaposema kosa la jinai? Kuna tofauti gani kati ya kosa na kosa la jinai?
Unamaanisha nini unaposema kosa la jinai? Kuna tofauti gani kati ya kosa na kosa la jinai?
Kwa sheria gani, watu waache ujinga, vyeti vya ndoa havina tija ktk ujenzi wa nchi hii