Mlikua wapi ina maana na nyie mlikua mnashiriki,,,mmeona mmefungiwa ndio mnasema mnakuja kuanika uozo,,,,,wala msianike fungueni makampuni mengine ili mambo yenu yaendelee kama kawaida
Mlikua wapi ina maana na nyie mlikua mnashiriki,,,mmeona mmefungiwa ndio mnasema mnakuja kuanika uozo,,,,,wala msianike fungueni makampuni mengine ili mambo yenu yaendelee kama kawaida
Sehemu zote mbili. TAFFA na Bandari, kuna majipu makubwa ya kutumbua. Lazima kuna wizi unafanywa kwa ushirikiano wa watu toka sehemu hizo mbili. Kila sehemu itumbue majipu yake nchi ikusanye tozo na kodi stahiki.
Serikali tayari imewafngia zaidi ya Makampuni200 ya Utoaji mizigo Bandarini kwa kukwepa kodi.
Makampuni haya kwa upande mwingine yana hoja kuwa kodi wanayodaiwa walilipa Benki na stakabadhi wanazo. Kuna Kampuni ililipa mpaka 41m Benki alipofuatilia akakuta mchezo mchafu ulofanywa kati ya Benki naTPA. Wengi wanalalamika.
Ni vyema Serikali ikawasikiliza na kufuatilia jambo hili na kuwachukulia hatua watumishi wa Benki na TPA waliohusika.
Kama meli nyingi zimeacha kushusha mizigo kwenye Bandari yetu kwa sababu ya matatizo haya,hii ni hatari kwa Taifa letu.
Eti serikali inapoteza mapato teh teh teh teh Nani ambaye alikuwa hakumbani na kero za bandari Ndani au nje ys nchi.... Hao Wateja watusamehe kwa sasa hiki ni kipindi cha mpito mambo yakiwa sawa watafurahi.... Hakuna kurudisha wezi bandarini na wakitajana ndio vema zaidi . ilitujue mengi.