Tafakari ya leo ya Kipanya kuhusu Sakata la Vyeti Feki

ana makadi ya magari tu,mengineyo nayo fake kwani majina bado hayajabadilishwa!!
 
Hili likipita salama, sidhani kama dr president atamwamini tena mtu mwingine, hata kama anatoka Chato.
 
Tunataka aonyeshe vyeti ndiyo Salama yake
Salama yake ndio muhimu kuliko salama ya watumia dawa. Au sio?.

Tusiingilie sana madawa ya kulevya, sisi tutumie nguvu nyingi kumuandama anayeyazuia kwa kumuumbua alichofanya miaka ya sijui 70. Na kama alishaomba msamaha kwa MUNGU wake na akasamehewa, sisi leo ni kumuhukumu tu. Hakuna msamaha hapa. Si yeye mwenyewe alitangaza vita na shetani?.

Yaani, hatuhitaji hatma ya nchi, bali ya mtu mmoja tu.

Hayo hapo juu ndio mawazo yenu, kwa nyie mnaotumiwa na nani, kuzuia harakati za kukumboa Taifa kwenye madawa ya kulevya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…