Tabora: Mwalimu mkuu avuliwa madaraka kwa kushindwa kusimamia utoaji wa adhabu

Wamemwonea tu Mwl. Mkuu kwakua hata wakati adhabu inatolewa hakuwepo lla waalimu nao wamezidi kumwambia mtt vaa nguo smart usijaladie ni mpaka muwashukie na fimbo kama mnaua nyoka acheni izo
Ungekuwa kwenye field ya ualimu usingeandika ulichoandika
 
wazazi wao walidai watoto wao wamedhalilishwa kwa kuvuliwa nguo na kupigwa na wanafnz timu ya afisa elimu jana aliwahoji wanafnz kwa kila darasa na wakatoa yao mfano walimu wa somo la hisabati wanapiga sana kitendo hicho kilimfanya afisa elimu achukue majina ya walimu hao, jamii za huku ndg ww acha tu
Elimu yetu ni siasa tu na serikali imedhamiria kuaribu elimu ajati watoto wao awasomi shule za selikari.
 
mwalimu mkuu wa shule ya msingi uyowa tabora amevuliwa madaraka ya kuwa mwl mkuu na kuwa mwl wa kawaida kwa kwa kushidwa kusimamia utoaji wa adhabu shuleni mwake, juzi mkuu huyo hakuwepo shuleni alienda kwenye semina wilayani kulikuwa na ukaguzi wa usafi kwa wanafnz hapo shuleni sasa watoto wengi wakakutwa wachafu na wamevaa nguo kwa kujaladia(yaani nguo mbili mbili), walimu wakaamuru wakazitoe hizo nguo walizo jaladia na watoto hao wakaadhibiwa na walimu mtiti ukafika kwa wazazi wakaja juu karibia kijiji kizima wanataka kuwapiga walimu kwa kuwapiga watoto wao ishu ilikuwa nxito ikaidi kwa usalama wa wawalimu wakachukuliwa kwenda kulala kituo cha polisi ulyankulu jana timu ya halmashauri walifika hapo shuleni wakiongozwa na afisa elimu msingi, baada ya uchungunzi kukamilika wakamvua mkuu wa shule hiyo madaraka na kuondoka na majina kadhaa ya walimu
Ili kuwa na matunda mazuri ya elimu ni lazima kuwe na ushiriki mzhri wa wadau ambao ni mwalimu, mzazi/mlezi, serikali nk. Elimu inayotolewa na shule za serikali bila viboko na adhabu hatutafika popote. Mazingira ya wanafunzi katika kujifunza ni magumu kwa upande wa miundo mbinu na historia za kifamilia, hivyo inahitajika kuongeza kitu cha ziada ili kuwafanya wakazanie masomo. Sasa hapo unamvua mwalimu mkuu cheo wakati hakuwepo alikuwa semina maana yake ni nini? Akili ndogo kutawala akili kubwa. ELIMU YA TANZANIA INAHARIBIWA NA SIASA
 
Sijaelewa, Hapo mkuu wa shule amesimamishwa kivipi? Na kosa la hao walimu ni lipi? Kuna tatizo mahala flani ghorofani
 
Nakumbuka sisi tuliosoma miaka ya tisini ulikuwa mwendo wa kichapo ndo maana tulikuwa vizuri shuleni
Wa leo mapoyoyo kweli
 
Udhalilishaji wa walimu.
Walimu kuwaadhibu wanafunzi wanao vaa ovyo wana kosa gani?
Huyo afisa Elimu ndio anatakiwa kutumbuliwa haraka iwezekanavyo,kwa kuwa ameshindwa kusaidia walimu wake kutekeleza majukumu yake.Mamlaka zinazohusika haraka washughulike na afisa elimu huyo kilaza
Maafisi elimu wengi hujionaga Miungu watu .

Wanataka kuheshimiwa sanaaa

Pumbavu tuu
 
Back
Top Bottom