Zed
JF-Expert Member
- Mar 28, 2009
- 488
- 355
Maadili Matendo na hata matamko ya Jeshi la Polisi Tanzania hivi karibuni vimeonyesha wazi kuwa Jeshi hili lenatikiwa sio kufanyiwa reforms bali kuundwa upya (kama JW ilivyoundwa upya 1964.) Ukatili, rushwa, Ushirikiano na waalifu, Upendeleo na kujiingiza kwenye siasa, Undugunization, kutokujua hata maelekezo ya kazi zao niwa viwango vya kutisha! Sijui Tume ya Haki Jinai inasema nini kuhusu Taasisi hii lakini kuireform hawezekani tena. Uundwaji upya uanzie kwenye recruitment, vyuo vya polisi... mpaka tathmini ya maofisa wa ngazi za juu!