Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,552
- 34,208
Chanel ten naanza kuiona ikifa polepole Yani nimeangalia taarifa yake ya habari Leo amesifiwa binadamu mmoja tu Kila habari anatajwa yeye tu Yani hata kwa kulazimishia aisee inaboa Sana hii nchi kwakweli.
Ila nivile tu kuna watu wamezaliwa kupenda masifa ila ningekuwa mimi ningewakataza maana jina langu Lina chuja linakera linadhihakiwa sana halitumiki kwa heshima hata mungu anakuwa mdogo kwangu wakati mimi ni binadamu tu.
Ivumayo haidumu.