Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,717
- 239,323
Mungu ibariki Chadema .
Kwani Makene anaweza kutoa taarifa bila baraka za chama? ....pia kama angetoa haraka ingebadili nini? ...tumekosa ya kujadili?Angekuwa Mbowe kaitwa polisi,Makene angekurupuka fasta,maana Mbowe ndio ulaji wake
Poleni sana wana chadema..
Tatizo lako ukereketwa na ukada umepitiliza.Kutoa taarifa mapema ni kuonesha uzito na kumpa heshima.Mnasubiri dunia yote imejua halafu mnakuja na tamkoo?aaah Mr MTAZAMO banaKwani Makene anaweza kutoa taarifa bila baraka za chama? ....pia kama angetoa haraka ingebadili nini? ...tumekosa ya kujadili?
Hopeless...Kwani Makene anaweza kutoa taarifa bila baraka za chama? ....pia kama angetoa haraka ingebadili nini? ...tumekosa ya kujadili?
Kumbee! nshakusoma mkuu, toka msiba umetokea unayoyaandika humu na mada unazoanzisha ni za kiajabu ajabu kumbe we mfuasi wa chama fulani. Kwahiyo mnataka muutumie msiba kisiasa kwaajili ya 2020?Tumaini Makene kazi ya kuhabarisha UMMA hapo Ufipa imemshinda?
Inakuaje taarifa nzito namna hii mnazitoa muda muutakao nyie?
CDM inahitaji reformation ya hali ya Juu..