Taarifa kutoka Ofisi ya Bunge kuhusu kusudio la kumwondoa madarakani Naibu Spika Dkt Tulia Ackson

Unawashwa wewe.......go back to bed, your man needs you. Siasa waachie wengine.


Sasa anayewashwa nani kati ya mimi na vilaza ambayo wanapiga makelele meengi kumbe mwisho wa siku wanakuja kula matapishi yao kwa kukubali kilikile walichokipinga, sasa haya yote ya nini wkt wanafahamu kbs au niseme mtu mwenye akili anafahamu kwamba hakuna jinsi chama chenye Wabunge chini ya 70 kinaweza kumuondoa Spika wa Chama chenye Wabunge 200!
 
Kanuni gani unaongelea wewe? Soma hilo tangazo vizuri ni kwamba hiyo Naibu Spika ndiyo atasimamia mchakato wote , sasa Je watabakia ndani ya Bunge hao chadema au watatoka? Na kama wakitoka ni nani atapiga kura ya kumuondoa Spika kama Wahusika hawapo? ni kwa nini hawakulifikiria hili kabla ya kuamua kutoka nje pindi Naibu Spika awapo Bungeni?
Sidhani kama matusi ni muhimu hapa Jf but sometimes mnarazimisha kutukanwa.
Soma vizuriii tangazo hilo.
Kisha tuombe msamaha
 
Sasa anayewashwa nani kati ya mimi na vilaza ambayo wanapiga makelele meengi kumbe mwisho wa siku wanakuja kula matapishi yao kwa kukubali kilikile walichokipinga, sasa haya yote ya nini wkt wanafahamu kbs au niseme mtu mwenye akili anafahamu kwamba hakuna jinsi chama chenye Wabunge chini ya 70 kinaweza kumuondoa Spika wa Chama chenye Wabunge 200!
Umesaha hao wabunge 70 walivyowatoa wabunge 200 nje ya bunge kwenye sakata la akina jeska waliotimliwa?
 
UKAWA wataondoka mapema sana mchana kweupe kabisa hakuna watakachoambulia kwenye hili.
Mkuu si mnasema kila siku UKAWA wafuate taratibu na kujenga hoja? Ndio wameshafuata taratibu na hoja yao imepokelewa au ulitaka wafanyaje? Maana nyie ndio mabingwa wa ushauri
 
Tafsiri ya hii ni kwamba, hoja imekidhi masharti ya kikatiba na kikanuni japo bado hatua moja. kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge kabla ya kuwa tabled na kujadiliwa na bunge zima.

Sina hakika hoja kama hii inatakiwa ikidhi vigezo gani ikiwa ktk kamati hii ili nao watoe go ahead. Kama ni kupigiwa kura, ni wazi itakwama kwa sababu naamini kamati hii ina wajumbe wengi wa CCM, chama atokacho anayetaka kutimuliwa NS, Bi. Tulia Ackson

However, vyovyote iwapo lakini lililo muhimu ni kuwa tangu mfumo wa vyama vingi uanze na katika mabunge yote chini ya mfumo huu, hakujawahi kuibuliwa hoja ya namna hii ya aidha kumng'oa NS au spika mwenyewe.

Kwa kumbukumbu zangu ni kuwa, majaribio kadhaa yalishafanyika kutaka kupigwa kwa kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu pekee.

Ndo kusema kwamba, lazima kuna tatizo kwa huyu mama. Mimi binafsi sidhani kama sababu zinazotolewa na wanaomtetea kama ni substantial, kwamba ni kwa sababu anazingatia kanuni za uendeshaji bunge kikamilifu.

Nasema hivi kwa sababu haiwezekani kuwa Maspika na manaibu spika wao woote wa mabunge yote yaliyopita kuwa walikuwa legelege sana ktk kusimamia kanuni za uendeshaji bunge.

Huyu nadhani limemkuta hili si kwa sbb nyingine iwayo yoyote bali ana lack qualities flani flani na hasa hasa BUSARA na HEKIMA kwa sbb binafsi naamini kuwa strictly katika sheria na kanuni pekee hakutoshi.

Nadhani strickness ktk sheria na kanuni kunatakiwa kuwe equally combined na busara na hekima ktk kusimamia jambo lolote na especially ktk kuongoza watu.

She has to watch herself na kamwe hii si sifa njema kwake hata kama jaribio hili la kumng'oa litazimwa.
 
Nilishasema Lisu, Zito,Mbowe & Co. wanajifanya wajuaji lkn ni vilaza wa mwisho Duniani, hivi kweli unategemea Bunge linaloongozwa na CCM ambayo ina Wabunge zaidi ya 200 upeleke hoja ya kumuondoa Spika wa Bunge ambaye ni CCM na Ufanikiwe?

Hii sijawahi kuiona wala kuisikia sehemu yoyote ile Duniani!

Haya sasa kuonyesha kwamba akina Zito, Lisu ni vilaza siku hiyo sijui ya kura Naibu Spika ndiyo atasimamia Bunge, sasa Je watakuwepo Bungeni au watatoka?

Hawa jamaa wanatupotezea tu muda, kwangu mimi hata wakipigwa marufuku forever warudi kwao Kishumundu poa tu, kuwa na watu vilaza ni gharama sana kwa nchi au kama vipi Lowasa awaajili kwenye kampuni zake kwa maana hii nonsense!
Duhh hii itakuwa kali yaani Dr. Tulia aketi kwenye kiti siku ya kusiliza hukumu!? Yaani Mtuhumiwa Dr. Tulia na Hakimu ni Dr. Tulia!
 
Kamati ya haki na maadili huko upinzani lazima wanyongwe huko...!
Hata wao wanajua kuwa hawataambulia kitu ila kuweka historia kuwa walitumia haki yao ya kikatiba na kikanuni kujaribu kumtoa NS. Yote ni katika mchakato wa kujenga democrasia ya kweli katika nchi yetu. Sote tutakuwa na cha kujifunza!
 
Ccm na mchezo mchafu. Mnajua upinzani hawatajitosheleza kwa hili vile mmewatimua bungeni, nani atajadili bungeni au kamati ya maadili ya ccm ndio watakuja na maamuzi. All in all Tulia wananchi hawakutaki ufahamu hilo. Historia itakuhukumu siku moja. Hii dhambi itakuumiza hata ujikaushe vipi
Nani kakwambia wananchi hatumtaki? wewe ni msemaji wa wananchi? acheni kupapatika na kutafuta umaarufu wa kisiasa usio na kichwa wala miguu mnachaguliwa na wananchi halafu mnaenda kususasusa bungeni huku posho mnakula.
 
Inachofanya UKAWA ni kutengeneza historia, japo wanafahamu hawafanikiwa katika hili ila historia hiyo itakuwa faida kubwa sana kwa upinzani kwa miaka inayokuja kipindi hawa wanaopigana kudai haki watakapokuwa wamestaafu siasa, i think hawa jamaa wa upinzani wanaangalia mbali and in some cases they think Big than their fellow counterparts.
 
Kanuni gani unaongelea wewe? Soma hilo tangazo vizuri ni kwamba hiyo Naibu Spika ndiyo atasimamia mchakato wote , sasa Je watabakia ndani ya Bunge hao chadema au watatoka? Na kama wakitoka ni nani atapiga kura ya kumuondoa Spika kama Wahusika hawapo? ni kwa nini hawakulifikiria hili kabla ya kuamua kutoka nje pindi Naibu Spika awapo Bungeni?

Acha kujitoa ufahamu kwa ajili ya ushabiki! Barua imetaja bayana kwamba kanuni inamtaka "Spika wa Bunge" akalie "kiti" wakati wa kujadili hoja ya kumwondoa madarakani "Naibu Spika"! Haya ya kwamba "Naibu Spika" ndio atasimamia mchakato wote umeyapata wapi?
 
Acha kujitoa ufahamu kwa ajili ya ushabiki! Barua imetaja bayana kwamba kanuni inamtaka "Spika wa Bunge" akalie "kiti" wakati wa kujadili hoja ya kumwondoa madarakani "Naibu Spika"! Haya ya kwamba "Naibu Spika" ndio atasimamia mchakato wote umeyapata wapi?


Kwani Naibu Spika siyo Spika wa Bunge?
 
Sijui kwa nini wengi wanapredict matokeo wakati Neil picha linaanza. Tusubiri at least hoja imepokelewa na kukubaliwa
Kutokana na historia ya matendo ya hiyo kamati, watu wanahisi haki haitatendeka. Lakini nakubaliana na wewe kwamba waipe hiyo kamati the benefit of the doubt na kuassume watadeal na hilo tatizo objectively.
 
Back
Top Bottom