Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 462
- 1,132
HAKUNA KIFO,ni story tu za kutishanaMnatafuta utajiri halafu matajiri wanataka kujiua.
Delulu.HAKUNA KIFO,ni story tu za kutishana
Wewe usiogope kufa. Hakuna kifoDelulu.
Kufa wewe basi utuondolee kelele hapa.Wewe usiogope kufa. Hakuna kifo
🤣🤣🤣.unajiita atheist alafu unaogopa kufa.Kufa wewe basi utuondolee kelele hapa.
This logical fallacy is non sequitur.🤣🤣🤣.unajiita atheist alafu unaogopa kufa.
Kufa ukakutane nae
By and large unavyozidisha elimu na utajiri ndiyo unavyozidi kuona maisha hayana maana.Watu wapo Switzerland uko tunapo amini wanainjoy life,. lkn binadam ajawai lizika nako wanataka kufa yawezekana awainjoy kama sisi.!
Wewe jiandae tu.This logical fallacy is non sequitur.
Hujui hata atheism ni nini.
Lete ujinga uchezee block.
Wewe guluguja ushakufa tayari.Wewe jiandae tu.
Africa raha sanaBy and large unavyozidisha elimu na utajiri ndiyo unavyozidi kuona maisha hayana maana.
Wewe huoni nchi tajiri na zenye elimu ya juu zinahangaika sana kufanya raia wake wazaane, mpaka zinakaribia kumaliza vizazi vya wananchi vya asili na kutegemea wahamiaji.
Halafu angakia nchi masikini Afrika tunavyozaana sana kama sungura.
Watu wa dunia iliyiendelea wameshaanza kujiua, wanajiua kwa kutozaa tu. Yani hawaui kwa kumtoa maisha mtu, wanaua kizazi kwa kutozaana na kutoa mimba.
Haya marehemu mtarajiwaWewe guluguja ushakufa tayari.
Nakupeleka ignore list kuanzia hapa sitaona chochote utakachoandika.
HhhhhhKifo cha mmarekani lazima kiwavuruge nchi nzima.