Swali: Teuzi zipi za Rais Magufuli Zilizoleta Gumzo?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,359
5,209
Tunaenda mwaka na nusu za uongozi wa rais J.P.M na hadi sasa ni kma ameshamaliza teuzi zake zote, kuanzia wabunge wa kuteuliwa, Mawaziri, wakurugenzi wa taasisi mbalimbali, wakuu wa Mikoa na Wilaya, Je, ni uteuzi gani ambao umelete Gumzo nchini...nawakilisha
 
.....
 
Ule wa bulembo uliokua unaelekea kukiuka katiba uteuz wa mama kikango kwa mara ya pili na huu wa mama jk
 
Hii ndio kazi Rasmi ya bavicha kwa sasa,hakuna tena kujadili masuala ya yanayogusa mwananchi.2020 mtasema mmeibiwa kura
 
Hakuna teuzi zilizo leta gumzo zote ni za kawaida tu.

Sisi ndiyo tunaleta siasa na makundi ktk teuzi plus mihemko.

Teuzi zote ni kama za Mwl Nyerere,Mzee Mwinyi na Mkapa na Kikwete
 
Hakuna teuzi zilizo leta gumzo zote ni za kawaida tu.

Sisi ndiyo tunaleta siasa na makundi ktk teuzi plus mihemko.

Teuzi zote ni kama za Mwl Nyerere,Mzee Mwinyi na Mkapa na Kikwete
Kibongo bongo huwa hatujadili uwezo wa mtu kwa nafasi aliyoteuliwa kama ataweza kuitendea haki, sababu kwetu sisi teuzi ni fadhila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…