Swali: Mwanamke anaweza kumuolea Kaka yake kwenye Uislamu?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
4,023
14,177
Kuna picha inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Bidada akimvisha pete Mwanamke mwenzie.

20240219_225013.jpg


Kulingana na Mavazi yao ni dhahiri kuwa hao wadada ni Waislamu kiimani, kama unavyojua kwenye wengi huwa hapakosi maneno basi kuna baadhi ya watu wakasema kuwa huyo Dada anamuolea ndugu yake wa kiume, na wengine wakawa wanasema kuwa hiyo ni ndoa ya Upinde (Ushoga).

Wajuzo wa Imani ya Kiislamu hili ni swali kwenu, je ni kweli Mwanamke anaweza kumuolea Kaka yake?

✍️ Mjanja M1
 
Waislamu hawana tamaduni za pete kwanza ,hata kama kamuolewa ila hiyo sio ndoa ya kiislamu ..Hizo pich kule twitter nitaleta mpaka muhsika
 
Back
Top Bottom