nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,512
Nimekuwa nikisikuwa kuwa kusoma sana kuna wakati hupelekea mtu kuwa chizi, hili linaweza kuthibitika hapa. Tusiangalie baya tu hata mazuri tupongeze jaman. Well done JPM
Tundu Lissu,Chadema,Mbowe na Zitto kabwe ni watu wa havyo sana nchi hii
Here you are saying! Lissu is becoming almost stupid of the year. Yeye kila kitu toka kwa rais ni uchafu. Kila akifungua mdomo ni kutukana. Anazungumzia hata mambo ambayo huhitaji kuwa mwanasheria kuona kwamba ni rubbish!Nimesoma maelezo ya Tundu Lissu kuwa kutokana na mikataba ilivyo madini na Mchanga ni mali ya wawekezaji.
TL anasema "Badala ya a smart president, tuna JPM anayeamini kwamba ametumwa na Mungu kuinyoosha nchi hii na neno lake ndio sheria. Matokeo yake, atagombana na wawekezaji na serikali zao na mabwana wakubwa wa kifedha duniani ambao ndio wamiliki halisi wa rasilmali zetu."
Anaendelea kusema "Watampeleka kwenye arbitral tribunals za kimataifa ambazo Mkapa na Kikwete walizikubali kuwa ndio mahakama za migogoro kati yetu na hao tuliowapa rasilmali zetu. Na tukipelekwa huko hatuponi kwa sababu tutakuwa tumevunja mikataba na sheria zinazolinda wawekezaji."
SWALI: Kwa nini wanatakiwa kudeclare concentrates za madini yaliyomo kwenye mchanga?
Je TL anaamini kuwa Declaration hiyo haina maana yeyote kisheria?
Mbona maelezo ya Brad Gordon (CEO wa ACACIA) haelezi kuwa Declaration ya quantities of concentrates ni non sense na haiwabani kisheria? badala yake anasema "We do not agree with the committee's findings"
Ni kwa nini basi anasema "I want to reassure you that ACACIA fully declares everything of commercial value that we produce" iwapo False declaration haina consequences zozote kisheria?
Sasa haya anayofanya Magufuli si ndio ilikuwa kilio cha chadema na Zitto.?walifikia kusema migodi ifukiwe na mitambo itaifishwe.Kaeni kimya wacheni tufanye kazi hamna uwezo wa kukemea ufisadi siku hiziUovyo wao ni upi?
Yaani watu waliokuwa wakihoji na kutaka Mikataba ya Madini iletwe Bungeni ndio waonekana wa hovyo?
Vipi kuhusu hao Marais na Wenyeviti wenu wa CCM kina Mkapa,Kikuete, Magufuli na Chenge waliotufikisha hapa? Kwa akili za CCM hawa ndio watu bora zaidi ukilinganisha na Wapinzani! You must be joking my friend!!
Here you are saying! Lissu is becoming almost stupid of the year. Yeye kila kitu toka kwa rais ni uchafu. Kila akifungua mdomo ni kutukana. Anazungumzia hata mambo ambayo huhitaji kuwa mwanasheria kuona kwamba ni rubbish!
Dhahabu ni yetu waTZ na wawekezaji. Mchanga ni wetu na wawekezaji. Sisi kama sehemu ya wamiliki tukiwa na wasiwasi kwa nini tusihoji au kuchunguza? Hakuna aliyefuta mkataba hapa! Mkataba upo shughuli zinaendelea kila siku sasa eti mtu aitwaye mwanasheria anaona mengine zaidi yetu juu ya makinikia, utadhani alisomea sheria za makinikia. Kila siku Lissu, Lissu, Lissu hata kwenye upuuzi yumo!
Pimbi mkubwa weee ...ndo walioingia hiyo mikataba ?? Ndo maana huna marinda pimbi weeeTundu Lissu,Chadema,Mbowe na Zitto kabwe ni watu wa havyo sana nchi hii
Kwa kuwa ww ni pimbi wala wenye akili hatukushangai ...huna marinda sasa uongee nn ?Here you are saying! Lissu is becoming almost stupid of the year. Yeye kila kitu toka kwa rais ni uchafu. Kila akifungua mdomo ni kutukana. Anazungumzia hata mambo ambayo huhitaji kuwa mwanasheria kuona kwamba ni rubbish!
Dhahabu ni yetu waTZ na wawekezaji. Mchanga ni wetu na wawekezaji. Sisi kama sehemu ya wamiliki tukiwa na wasiwasi kwa nini tusihoji au kuchunguza? Hakuna aliyefuta mkataba hapa! Mkataba upo shughuli zinaendelea kila siku sasa eti mtu aitwaye mwanasheria anaona mengine zaidi yetu juu ya makinikia, utadhani alisomea sheria za makinikia. Kila siku Lissu, Lissu, Lissu hata kwenye upuuzi yumo!
Kitaturu wape wape vidonge vyao. Acha sindano izame ili dawa ikolee sawasawa.
Mimi nasubiri tu pale Rais Magufuli atakapoitwa kwenda kuhojiwa na Jopo la Majaji wa Kimataifa wanaoshughulikia Mikataba ya Biashara za Kimataifa. Bila shaka itabidi atafute mkalimani wa Kisukuma maana vinginevyo watu watabakia midomo wazi jinsi atakavyoweweseka kujibu maswali magumu!!!Tusubiri,
Wanapuuzwa waliokuwa wanasema ndiyoooooo ...sasa yangeuka na kusema siyoooooooooo ...ccm imejaa mapimbi hadi yanatia kinyaaaHuyo alisha zoeleka
Niwakumpuuza
Asante Mkuu. Kwa maana hiyo Kamati ya RAIS imeichallenge SGS?SGS ni kampuni ya kimataifa ambayo iko duniani kote ikijihusisha na kuhakiki, kukagua (vipimo vya aina yote) ubora wa mali zisafirishwazo kutoka nchi moja na kwenda nchi nyingine. Kwa hiyo basi hii kampuni iko pia hapa kwetu ikahakiki mizigo yoote itokayo na iingiayo kama iko kama inavyoonyeshwa physicaly na kwenye bill of lading au airway bill.
Mchanga kutoka machimboni unakuwa na vyeti vya TMAA (Tanzania Mines Audit Agency) vikiainisha asilimia ya madini yaliyo kwenye mchanga huo n athamani yake. Kazi ya SGS ni kuhakiki usahihi huu (kumbuka wana kila zana: laboratory, scanner etc). Hakuna njia wanayoweza ku colude na exporter au importer kwa sababu at that other end point kuna auditing.
Tushangilie tukisikilizia, kwa sababu sidhani kama ACCACIA ni maamuma kiasi cha kufanya kinyume na makubaliano yalivyo kwenye MKATABA.
Kumbuka hii mikataba imeliliwa saana na oposition kwa miaka mingi. Najiuliza swali, Je ni rahisi kuvunja mkataba na tukapona kama taifa?
Ushaidi u wapi?Wengi hamumjui lissu na mnafikiri ni mtu wa maana kwa maneno yake. Huyu sio lissu aliyepigania waliofukiwa bulyankulu. Muulizeni pesa alizojengea ghorofa, kununua Isuzu trooper 5 na vogue moja kabla hajawa mbunge na linganisha na mshahara aliokuwa akipata akiwa mwanasheria wa LEAT.
Anadhani kuwa atasimama kwenye ile kauli yake maarufu kuwa, "hii ni nchi yangu, na mimi ndiye Rais" utadhani hii nchi iko ktk sayari ya Jupiter vile.....
Hasira za msukuma siku zote ni hasara tu, ndiko tunakopelekwa.....!!
Yeye anadhani Jakaya Kikwete alikuwa hayaoni na hakuuona madudu yaliyomo ktk mikataba na sheria zinazosimamia sekta ta madini !!?
No, aliona sana tu, lakini hé had no way out zaidi ya kutumia akili na busara zaidi kuliko ubabe usio na macho ama akili na mwisho wa siku alifanikisha kuwashawishi hawa jamaa ingalau baadhi ya kodi zikaanza kulipwa na mrabaha ukaongezeka toka 3% - 4% .......
Acha tunyolewe bila maji, hakyanani vile !!
..ni kwasababu Tz imesaini mkataba wa kimataifa wa kulinda wawekezaji.
..kwamba kukitokea tatizo/mgogoro na wawekezaji, serikali inapaswa kupeleka shauri ktk chombo/mahakama maalum ya kimataifa.
..kwa maoni ya Tundu Lissu serikali kuzuia shughuli za uchimbaji madini ni kinyume na mkataba.
..Wawekezaji wanaweza kutushitaki kwenye mahakama ya kimataifa ya masuala ya wawekezaji na Tz
tukalazimishwa kulipa fedha nyingi.
..Tundu Lissu amependekeza kwa Raisi kuwa Tz ijitoe ktk mkataba nilioutaja hapo mwanzo ili migogoro yote baina yetu na wawekezaji ishughulikiwe na MAHAKAMA ZA TANZANIA.
Asante Mkuu...ni kwasababu Tz imesaini mkataba wa kimataifa wa kulinda wawekezaji.
..kwamba kukitokea tatizo/mgogoro na wawekezaji, serikali inapaswa kupeleka shauri ktk chombo/mahakama maalum ya kimataifa.
..kwa maoni ya Tundu Lissu serikali kuzuia shughuli za uchimbaji madini ni kinyume na mkataba.
..Wawekezaji wanaweza kutushitaki kwenye mahakama ya kimataifa ya masuala ya wawekezaji na Tz
tukalazimishwa kulipa fedha nyingi.
..Tundu Lissu amependekeza kwa Raisi kuwa Tz ijitoe ktk mkataba nilioutaja hapo mwanzo ili migogoro yote baina yetu na wawekezaji ishughulikiwe na MAHAKAMA ZA TANZANIA.
Umechelewa sana kunijua. Pole!Ahaaah, sasa tumekujua wew ni wa rangi gani..
good.Siku hizi kila nikimsikiliza TL huwa namkumbuka saaana marehemu Banza Stone, kwa ule wimbo wake "ELIMU YA MJINGA" au kwa jina jingine "MTAJI WA MASIKINI". Kuna verse aliimba "mjinga hupenda majivuno,
hupendo majisifuu,
asichokijua hujifanya anajua,
mazuri ya kwakee mabaya ya wenzake......" TL ana sifa zote hizo. Anajifanya anajua kila kitu humu Duniani. TL angekuwa "smart" basi hata CDM wasingebeba oil chafu toka CCM kuwa mgombea wa urais.
Km sio rahis unashauri tufanyaje??? Tuwaache waendeleee kutuibia.na km upinzani walikuwa wanalilia sn jambo hili.je wao wangeingia ikulu wangefanyaje?? Au hata ipinzani nao ni maamuma tu na wababaishaji.hawana lolote?? Nasema hivyo kw sbbu umesema iko kisheria.na hatuna jins isipokuwa ni kkubaliana tu tuendelee kuibiwa!!!!.Nina maswali mawili. Nani mmiliki wa Sgs, na nani anafanya auditing. Shareholders wa kampuni hii ni akina nani na wanatoka nchi gani?
Nimeuliza je DECLARATION ya concentrates za minerals sio takwa la kisheria? Msaidieni TL basi kujibu.Anadhani kuwa atasimama kwenye ile kauli yake maarufu kuwa, "hii ni nchi yangu, na mimi ndiye Rais" utadhani hii nchi iko ktk sayari ya Jupiter vile.....
Hasira za msukuma siku zote ni hasara tu, ndiko tunakopelekwa.....!!
Yeye anadhani Jakaya Kikwete alikuwa hayaoni na hakuuona madudu yaliyomo ktk mikataba na sheria zinazosimamia sekta ta madini !!?
No, aliona sana tu, lakini hé had no way out zaidi ya kutumia akili na busara zaidi kuliko ubabe usio na macho ama akili na mwisho wa siku alifanikisha kuwashawishi hawa jamaa ingalau baadhi ya kodi zikaanza kulipwa na mrabaha ukaongezeka toka 3% - 4% .......
Acha tunyolewe bila maji, hakyanani vile !!
Waheshimiwa, tunabishia gizani.Asante Mkuu. Kwa maana hiyo Kamati ya RAIS imeichallenge SGS?
Kwa hiyo TL anawaamini SGS kuliko wataalam wetu?
Lakini hiyo haijawa hoja ya TL katika andiko lake. Hoja yake imebase kwenye sheria na kwamba wakienda mahakamani watatushinda. Na ndio maana nikauliza mikataba na sheria inasemaje kuhusu kudanganya katika kudeclare?
Maana hoja yetu ni kuwa tunadanganywa katika declaration. Na wataalam wetu wapo tayari kuprove hilo scientifically. Ni vema basi hao SGS wakaja na hivyo vipimo vyao kama wana uhakika navyo tuweze kujua nani ni muongo kati ya wataalam wetu na wao.