Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,494
Mzima weye? ?Akikuwa ataacha huyo bado ni mvulana,narudia tena ni "MVULANA"
Mzima weye? ?Akikuwa ataacha huyo bado ni mvulana,narudia tena ni "MVULANA"
Cuzoo kwani wewe unapendaga nini vileeestunter ukuje huku watu eti hawakuelewi ila maushauri yako unayowapa huwa wanayafanyia kazi lakini
Hatuwezi kuwa na preference zinazofanana.Jibu lako nimelipenda sana Raven
Anasahau tuna mahitaji tofauti
Dunia iweke tuzo za wachukiajihuyo jamaa tangu siku ya kwanza nilipatwa sana mashaka hata na uchangiaji wake tu,utadhani ana jinsia mbili ila anaitumia sana ya mtandao pendwa..
Niko poa aisee.Mzima weye? ?
Mie mzimaNiko poa aisee.
Vipi wewe?
cuzoo swali lako la kichochezi ujue hivi umemaanisha niniCuzoo kwani wewe unapendaga nini vileee
Ni kweli mpk kutapika huwa unatapika ukiingia kuleHatuwezi kuwa na preference zinazofanana.
Mfano mimi jukwaa la wakubwa siwezi kuwa kule. Na sio kwamba naogopa watu watanionaje no ila tu nikiingie najiskia hovyo.
Hebu ngoja nitamuuliza ma mdogo anajisikiaje akiwa kule ukubwaniHatuwezi kuwa na preference zinazofanana.
Mfano mimi jukwaa la wakubwa siwezi kuwa kule. Na sio kwamba naogopa watu watanionaje no ila tu nikiingie najiskia hovyo.
Poa, umeadimika!Mie mzima
Raven anajua namaanisha nini atiii. .. kwani we uko kama stuntercuzoo swali lako la kichochezi ujue hivi umemaanisha nini
uwiiii nakugawa bureeeNi kweli mpk kutapika huwa unatapika ukiingia kule
Haha... huyu inabidi nianzishe uzi wenye title. Mamdogo kwanini unapenda JLW?Hebu ngoja nitamuuliza ma mdogo anajisikiaje akiwa kule ukubwani
Marahaba mamdogo. Nitakupigia baadae eeh. Bamdogo mzima anaendelea vizuriNi kweli mpk kutapika huwa unatapika ukiingia kule
Hapo utaharibu sasaHaha... huyu inabidi nianzishe uzi wenye title. Mamdogo kwanini unapenda JLW?
Marahaba mamdogo. Nitakupigia baadae eeh. Bamdogo mzima anaendelea vizuri
Bamdogo hapana usianzishe nimeshaacha usianzishe yaaan unaelewa nini nimemaanishaHaha... huyu inabidi nianzishe uzi wenye title. Mamdogo kwanini unapenda JLW?
Marahaba mamdogo. Nitakupigia baadae eeh. Bamdogo mzima anaendelea vizuri
uwiiii nakugawa bureee
hapana cuzoo sipo kama stunterRaven anajua namaanisha nini atiii. .. kwani we uko kama stunter
kule mm naondoa stress ujue kuna mda nakua nimevurugwa nikiingia kule nikiona mapicha na mavideo kiasi stress zinapunguaHebu ngoja nitamuuliza ma mdogo anajisikiaje akiwa kule ukubwani
Basi sawa. ..usiwaze Raven anakushtua tuhapana cuzoo sipo kama stunter
Kule ni stress freekule mm naondoa stress ujue kuna mda nakua nimevurugwa nikiingia kule nikiona mapicha na mavideo kiasi stress zinapungua