Swali kwa Clouds Tv: Mbona vipindi vyenu vingi ni kuhoji wasanii tu?

Sijui kama na wengine mmenotice hiki kitu lakini almost 90percent ya vipindi vya hii television ni vya kuhoji wasanii kuanzia take one, sizz kitaa,weekend chat show na hiki kipya brands and cities.
Swali kwa uongozi wa clouds ni: Je wamekosa kabisa ubunifu wa kutengeneza vipindi vingine vya maana kuliko hivo vya kuhoji wabongofleva na wabongomuvi??

Clouds ililenga kundi hilo...wenyewe wanasema ni tv ya vijana..
 
Back
Top Bottom