Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,765
Kumbe kufanya kazi hiyo inakufanya kuwa celebrity
Mbele kama Tai,hii kazi siwezi fanya bora niwe jobless jmnAnastahili heko kwa kweli maana mimi na ujanja wangu wote hata unilipe mshahara wa bilioni moja kwa mwezi hiyo kazi siwezi kuifanya.
Heshima mbele.
Maiti za ajali?!! Ah! Binti yuko fiti ila uwezekano wa kuwa kigagula umri ukipanda panda panda ni mkubwa.Tumbi hahahahaha
Wengi wao wanatokea kuwa wavutaji wazuri wa lile jani kutokana na mazingira ya kazi sijui yeye kavuka hicho kigezo.Hongera zake, kazi inahitaji ujasiri sana hiyo
Tumbi, KibahaYupo hospital gani?
Yupo tumbi kibaha pwaniChombo khasa kimeumbika khaswa mleta uzi tufanyie ihsani tujue anatumika hospital gani hayo ya kukaa na miili wala sio tabu.
Shukran ndugu kwa taarifa.Yupo tumbi kibaha pwani
This shows how far the motherland has gone down,hakuna kazi and people are left with no choice-huyu binti ni mdogo sana to go that pathAnastahili heko kwa kweli maana mimi na ujanja wangu wote hata unilipe mshahara wa bilioni moja kwa mwezi hiyo kazi siwezi kuifanya.
Heshima mbele.
Kuna true TRUE STORY moja nimeipata kutoka Kenya...Mwanamama mmoja amekuwa anaondoka nyumbani usiku, mara moja kila wiki....mume alipofanya utafiti akagundua Mkewe huenda Mortuary..Asije kuwa mchawi, na yuko pale kimkakati. Maana hiyo kazi huwezi niambia ilikuwa ndoto yake nikakuelewa.
Anaitwa Swabrina Ghalibu huyu atakuwa ni msichana wa kwanza kabisa kufanya kazi Mortuary akiwa na Umri mdogo ana Miaka 19
Atakuwa anatunza miili ya binadamu Mortuary na kuifanyia kila Taratibu zote.....Wakati akina dada wengine waki jimwaya mwaya Instagram na Facebook huku hawana Kazi yeye atakuwa anafanya kazi hiyo ambayo itakuwa inamuingizia pesa Nzuri tuu
Ni kazi ambayo haina ushindani hivyo ukiomba ni rahisi kupata
Kwa nijuavyo mimi kazi ya huyo dogo itakuwa kukusanya miili hiyo toka mawodini,ICU,na sehemu zingine za hospital na kuipeleka Mortuary,atakuwa anaisafisha kwa kuogesha miili hiyo,kuwatolea watu miili yao wanapo kuja kuichukua!
Haya sasa Ni wakati wa kina dada wengine kujifunza
TumbiChombo khasa kimeumbika khaswa mleta uzi tufanyie ihsani tujue anatumika hospital gani hayo ya kukaa na miili wala sio tabu.
Hata Mimi nilisikia wakampigia Yule cm from redio station akasema ndio Na siwachii ataka akae Na Kama Mume hataki aondokee ..kuna watu wana roho za jiwe sanaaa...Kuna true TRUE STORY moja nimeipata kutoka Kenya...Mwanamama mmoja amekuwa anaondoka nyumbani usiku, mara moja kila wiki....mume alipofanya utafiti akagundua Mkewe huenda Mortuary..
Jamaa alikimbilia kwa Mchungaji kuomba msaada...Mchungaji akambana yule Mwanamama.....Mwanamama hatimaye akakiri na kusema ndio masharti aliyopewa ya kulala na Maiti....na ameshapatana na Watunza Motuary, na ndio maisha anayoishi.
Mume na Mchungaji wakamsihi aache...akasema kama ni mume aondoke tu yeye anataka pesa, kwamba ameishi sana kwenye umasikini na hayupo tayari kurudi huko.
Ki ukweli Mama ni tajiri, na Mzee hakuwa na mchango pale ndani.....ndio nilisema tuone tu watu wapo kwenye hayo Ma Range rovers yao.