SURA ZA MAJAMBAZI!

Ujambazi siyo sura... Ujambazi ni roho ya unyanganyi na udhulumati...

Kupigana na roho zilizochafuka ni vita ngumu sana...


Cc: mahondaw
 
Kuna ujambazi wa kutumia:
1: Silaha
2: Ujambazi wa kutumia kalamu

sijui wew utakuwa unazungumzia ujambazi upi...
 
ujambazi upo rohoni wala si mwilini...hivo mpk uwe kiroho ndo waweza kuwatambua lkn kwa muonekano ukionyeshwa ndo huyu utashangaa.unakuta ni wapole..ni handsome au warembo kabisa ...anaweza tokea familia bora kabisa haina dhiki...
 
Hawa hapa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…