ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 58,894
- 69,621
Ule msemo wa pombe sio chai umejidhihirisha huko Sumbawanga Baada ya watu 2 Kufa kutokana na ulevi.
Wenyeji wa Mkoa wa Rukwa yaani Wafipa ni Moja ya jamii zinazoongoza Kwa ulevi hapa Tanzania sawa na Wachaga.
Huko Sumbawanga sio ajabu nyumba nzima kuanzia Mke ,baba na Watoto kuwa walevi.
Cha ajabu wamekufa wakinywa siku ya krimas ambapo wakaazi wengi wa Mkoa huo ni Wakatoloki.
Tahadhari, hiyo ni Krismas bado Mwaka Mpya. Drink responsibly vingiytutazika wengi.
====
Watu wawili wamefariki dunia kwa nyakati tofauti katika Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa chanzo kikiwa ni kunywa pombe kupita kiasi siku ya Christmas hadi kuzima.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Shadrack Masija amewataja waliofariki kisa ulevi wa pombe kuwa ni Nasibu Kalindu (38) ambaye alikunywa pombe December 25,2023 kiasi ambacho hakijafahamika na zikamzidia na kupeleka kifo chake December 26,2023 jioni akiwa nyumbani kwao mtaa wa Katandala.
Mwingine ni James Vanance Joseph (30) ambaye alikunywa pombe December 25,2023 zikamzidia na kupelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa na kushindikana kutibiwa na hivyo alipoteza maisha December 26,2023.
RPC Masija amesema “Watu tupunguze furaha inayopelekea ulevi kupita kiasi hasa wakati wa Sikukuu.
Millard Ayo