Sukari sasa Tsh 6,000/- kwa kilo. Waziri Mkuu, zile tani ulizoagiza ziko wapi?

Tuwe na mipango mizuri ya uchumi.
Wadau wote wa sukari wakutane kujadiliana.
 
Majaaliwa piga marufuku watu kunywa chai asubuhi mchana na jioni hii ni mida ya kazi.
Watu wanywe chai usiku wakiwa usingizini
 
Magufuli hatakiwi kushindwa hii vita ya Sukari, akiishindwa hii Wahujumu uchumi na Mafisadi wataona kumbe Mzee akibanwa anasarenda, Sasa kwa Kuwa Mzee keshaamua mbwai iwe mbwai basi inabidi iwe mbwai kwelikweli!
ameshashindwa kwakuwa alikurupuka.
keshokutwa mwezi wa ramadhani unaanza sasa hapo ndiyo balaa zaidi.
 
Magufuli hatakiwi kushindwa hii vita ya Sukari, akiishindwa hii Wahujumu uchumi na Mafisadi wataona kumbe Mzee akibanwa anasarenda, Sasa kwa Kuwa Mzee keshaamua mbwai iwe mbwai basi inabidi iwe mbwai kwelikweli!

hiyo mbwai haitawezekana kama bado hajakabidhiwa rungu la uenyekiti wa ccm, maana huko ndo mihujumu imejificha na inalindwa na chama
 
Kula "like" mkuu!! Serikali ya sifa tuuuuu, hakuna hata tone la busara! Unatafuta sifa kwenye media na watz wanaona kuna kinachofanyika! Wenzetu wanawaza mbali mno, sisi tunahangaika na sukari kilo moja!! Chanzao cha haya yote ni serikali kupenda sifa za kitoto!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Magufuli hatakiwi kushindwa hii vita ya Sukari, akiishindwa hii Wahujumu uchumi na Mafisadi wataona kumbe Mzee akibanwa anasarenda, Sasa kwa Kuwa Mzee keshaamua mbwai iwe mbwai basi inabidi iwe mbwai kwelikweli!
Siyo mbwai kwelikweli bali ni mbwai kweikwei!
 
hivi kuna hajagani ya kuzigawa hizo sukari bure kwanini kama zikikamatwa zisipelekwe sehemu zenye uhaba wa kutisha kisha wapewe viongozi wa maeneo haya waziuze ili kila mwananji apate uwekkwe utaratibu wa hizo pesa kurejeshwa zinapohusika asee tumieni akili sio nguvu lols
 
Wakati wa lowasa nyama ilipanda kutoka mia nane hadi elfu tisa mbona hatukuangiza ngombe kutoka ethiopia? Acha tu bei itajishusha yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…