Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,470
- 25,390
Bado Corner Bar na kangaroo watu ndio wanakesha pale na short time wanasahau hata kurudi majumbani kwaoSugar ray iliyopo Temeke mitaa ya kwa sokota imefungwa rasmi kwa madai kuwa sehemu hiyo imekuwa maarufu kwa wadada kuuza miili yao hivyo basi wazazi wa sehemu hiyo wakishirikiana na serikali waliamua kuifunga club hiyo kwa madai kuwa vijana wao wamekuwa wakiharibika siku baada ya siku
Corner bar ishafungiwa mkuuBado Corner Bar na kangaroo watu ndio wanakesha pale na short time wanasahau hata kurudi majumbani kwao
Vijana wakike au wakiume?Sugar ray iliyopo Temeke mitaa ya kwa sokota imefungwa rasmi kwa madai kuwa sehemu hiyo imekuwa maarufu kwa wadada kuuza miili yao hivyo basi wazazi wa sehemu hiyo wakishirikiana na serikali waliamua kuifunga club hiyo kwa madai kuwa vijana wao wamekuwa wakiharibika siku baada ya siku
Wote mkuuVijana wakike au wakiume?
namaanisha kangarooCorner bar ishafungiwa mkuu
Kangaroo au Durban bado ipo ila ipo hatiani kufungiwa kwa maana madada poa wa durban ndio hao hao wa Ambiancenamaanisha kangaroo
acha kabisa pale kuna laaana kaka ukitoka ego ukiingia pale asubuhi hii hapaKangaroo au Durban bado ipo ila ipo hatiani kufungiwa kwa maana madada poa wa durban ndio hao hao wa Ambiance
Duuh watakimbilia Buguruni,,watasumbua na huku haoVijana wakike au wakiume?
Duuh!!Wote mkuu
Sugar ray iliyopo Temeke mitaa ya kwa sokota imefungwa rasmi kwa madai kuwa sehemu hiyo imekuwa maarufu kwa wadada kuuza miili yao hivyo basi wazazi wa sehemu hiyo wakishirikiana na serikali waliamua kuifunga club hiyo kwa madai kuwa vijana wao wamekuwa wakiharibika siku baada ya siku
Sugar ray iliyopo Temeke mitaa ya kwa sokota imefungwa rasmi kwa madai kuwa sehemu hiyo imekuwa maarufu kwa wadada kuuza miili yao hivyo basi wazazi wa sehemu hiyo wakishirikiana na serikali waliamua kuifunga club hiyo kwa madai kuwa vijana wao wamekuwa wakiharibika siku baada ya siku