Suala la TANESCO: Magufuli na Serikali yake wanafiki sana

wapinzani wamebanwa kwa kutumia vyombo vya dola kibabe. serikali iruhusu vyama vya siasa vifanye shughuli zake ikiwemo mikutano ya hadhara...
 
halafu kijijini kwenu umeme, elimu, maji, miundo mbinu na afya vikaboreshwa baada ya CHADEMA kubaniwa???? Wanajamvi mawazo kama ya mtoa post (yakipuuzi) ndo mtaji pekee CCM walionao.
 
Jamaa sijui watatoka vipi kwa maana CCM ndo Chama cha wanyonge, na wanyonge ndo wengi na ndo wapiga kura, hapo sasa!
Ishu ya Umeme ilivyotokea wakafikiri wamepata pa kutokea la haula, Magufuli wetu kaingilia na kutetea wanyonge kama kawaida, ... sasa wamebakia kutafuta mchawi na kuumbuana tu, na bado uchaguzi wenu wa ndani ukifika ni lazima mtagawana fito tu, kwani fisadi Lowasa ndo kwanza anasimika mizizi yake humo chadema, na ndo mgombea uraisi chadema 2020, 2025, 2035 n.k. na akitoka yeye anakuja mwanae kugombea 2040,2045, 2050,...!
Acha ujinga kama mwanaume sukari iuzwe 1800. Wanafunzi wapewe mikopo, ajira kwa waliohitimu, apeleke dawa hospitali, atimize ahadi ya milioni 50 kila kijiji, mengi tu.
 
Jamaa sijui watatoka vipi kwa maana CCM ndo Chama cha wanyonge, na wanyonge ndo wengi na ndo wapiga kura, hapo sasa!

Ishu ya Umeme ilivyotokea wakafikiri wamepata pa kutokea la haula, Magufuli wetu kaingilia na kutetea wanyonge kama kawaida.

Sasa wamebakia kutafuta mchawi na kuumbuana tu, na bado uchaguzi wenu wa ndani ukifika ni lazima mtagawana fito tu, kwani Lowasa ndo kwanza anasimika mizizi yake humo chadema, na ndo mgombea uraisi chadema 2020, 2025, 2035 n.k. na akitoka yeye anakuja mwanae kugombea 2040,2045, 2050,...!

Wamebanwa kama mjusi chini ya mlango
 
Kasi ya Kugufurika Awamu ya 5 mwaka 2016 ‍♂

1...Aliyeibia TRA mil 7 kwa dk 5 kwanini hajashtakiwa?

Hiyo ni sawa na Bil.6.048 Tshs kwa mwezi 1 tu sawa na Bil.72.536 kwa mwaka zinapelekwa wapi kama serikali imeshindwa kuwapa mikopo wanafunzi wanaohitaji mikopo ya Elimu ya Juu, kujenga madarasa na kuweka Madawati?

2...Tulianza na watumishi hewa, je wameisha? Waliosababisha hilo tatizo wako wapi ni akina nani? Je, ni Majina ya Watumishi hewa yako wapi? Kwanini yawe siri?

3.. Kutumbua, kumeleta tija kwa taifa au kumejenga woga na nidhamu ya kuigiza?

4... Sakata la sukari kufichwa na kuwa itakayopatikana ingegawiwa bure kwa watanzania,

Je, Ilipatikana? Iligawiwa bure? Lini wapi na walionufaika na sukari ya bure ni akina nani?

5..Bei elekezi ya sukari ya serikali ni 1800, je hapo ulipo wanauza kiasi gani leo?

6... Mbwembwe za Mawaziri kuwahi ofisini hadi kufunga geti ili kubaini wanaochelewa zimeisha lini? Je, hayakuwa maigizo?

7..Waandishi walipataje taarifa kuwa waziri atawahi kufunga geti ili wampige picha?? Au Rais atafanya ziara ya kushtukiza?

8..Ziara za kushtukiza za Mawaziri, na viongozi wengine zilizokuwa zinasheheni waandishi zimeisha kwanini? Mwakani zitajirudia? Zimekuwa na tija yoyote kwa sisi Wananchi?

9...Fedha zilizokuwa zimefichwa na wafanyabishara zimetolewa? Hatua gani imechukuliwa?

10.. Kukatika umeme ilielezwa itakuwa ndoto, hali ikoje sasa?

11..M?Mbwembwe za mahakama ya mafisadi zimeishia wapi? DK Mwakyembe amesema watuhumiwa wa ufisadi hakuna.

12.Sakata la Faru John litaishaje, na kwanini lilipewa umuhimu kuliko miili 7 ya mto ruvu na kupotea Ben Saanane?

13 Wapiga dili tulioambiwa watachukuliwa hatua kuwa walitaka kutugombanisha na Dangote wamechukuliwa hatua gani, ni akina nani?

14. Rais Magufuri alikuwa na maana gani kusema atashugulikia wapiga dili, majibu na Mafisadi wa awamu 4 na awamu zilizopita huku akijiondoa yeye na kueleza kuwa hakuna atakayemgusa mtangulizi wake Jakaya Kikwete.....alimaanisha wao hawakuwa katika awamu hizo?

15..Makonda ametatua kero ngapi katika Jiji la Dar? Bajeti ya kurusha matangazo alilipa nani kama serikali inabana matumizi?

16.Kuwa huru kwa Vyombo vya habari ni halali kwa CCM, Makonda, MAGUFURI, na serikali ila ni haramu kwa vyama vingine vya siasa.

17.Kauli yaM/Kiti wa CCM na Rais MAGUFURI akiwa katika sherehe za miaka 39 ya CCM kule Singida kuwa vyama vingine vya siasa visiwe na ndoto na katu visiwaze kushinda Uchaguzi na kushika dola sio kauli kidikteta.

18. Kuhoji maovu ya serikali na kukosoa ni haramu na uchochezi, ila kuisifu serikali kwa kila jambo ni uzalendo.

19...Mafisadi hawatungiwi sheria Kali, na faini yao ni kiduchu, na wanaokuwa kwenye system wapo wengi wanaongezewavyeo...... .eg.Muhongo in Escrow, yule aliyetumbuia TCU amepewa cheo kingine.....n.k

Ila vyombo vya habari vinavyosidia kufichua ufisadi na Mafisadi vimetungiwa sheria Kali sana kupindukia kuviziba midomo na kuvishika mikono ili visiwe vinachimbua maovu ya Mafisadi na kuwajulisha wananchi....

Kisha watawala wanajinasibu kuwa awamu ya 5 ni serikali ya wajibikaji, uzalendo, ukweli na yenye kuzingatia maadili.

20..Watanzania fyatueni watoto wengi mpendavyo, maana sasa elimu ni bure, mikopo ya elimu ipo, gharama za zimeshuka serikali Mpya inawajli Watu wake.

21. S?Serikali imejenga viwanda 3800 kwa mwaka 1 hivyo janga LA ajira linakaribia kuwa historia.

22. Mashine za kupimia magonjwa MRI na CT-Scan sio tatizo nchini maana Mh. kufanya ziara ya kushitukiza na kuahidi kushufuta kero hiyo.....akasema Tanzania ni nchi tajiri haitakiwei kukosa vitendea kazi hivyo.....Leo hata MoI hakuna hata kimoja.

23..Serikali inajali wananchi, imewajali sana wahanga wa Tetemeko la Ardhi, imekusanya rambi rambi ikazitumia kwa niaba yao.....wananchi wakaambulia kusubili hadi leo, wanafunzi wamepewa mikopo, kero Maji, umeme na afya sio taabu tena.

24...Sakata za ufisadi wa Lugumi, IPTL, Escrow na mengine mengi sio majipu ndio maana baba Jesca ameyapa kisogo.

25. Uwanja wa ndege wa Chato ni kipaumbele cha TAIFA.....mikopo ya elimu, ajira za walimu, wauguzi, Mishahara kupanda isubili ila uwanja wa ndege wa Chato ujengwe kwanza.

Kutemea mabadiriko kupitia CCM ni sawa na kutegemea bata amzae punda, Mto Msimbazi umwage Maji yake Ziwa Victoria.

Endeleeni kuisoma....CCM mbele kwa mbele....mmeipenda wenyewe.
 
Zingaombwe zingine zitawatokea puani.
Leo kaanza Kudesh Mwanahalisi akidai Saanane yuko Fresh tu anakula bata mtaani.

Time.will tell
 
Aliyeifirisi Tanesco ni Lowasa na genge lake na mnae huko chadema!
Lowassa aliiweka IPT?, Lowassa aliondoka Serikali ya CCM tangu 2008 Bado mnamsingizia Tu? Lowassa alichukua Rumbesa na Sandarusi. Lowassa anawalinda Lugumi? Lowassa anaendelea Kulazimisha IPTL walipwe 100,000 Us Dolar Kwa Siku, Lowassa anakwapua Pesa na Kununua Ndege badala ya Kulipa Deni la Serikali kwa Tanesko la zaidi ya Trilioni? Lowassa anakwapua 2.7 Bill Tsh ili Kwahonga Wabunge wa CCM wawe Rubber stamp kwa Ushenzi kama huu?
Kikulacho Kinguoni Mwako? Mafisadi wa kweli wako Mifukoni mwa Maguguli eg Lugumi na acha, acha Uzandiki na Unafiki unaonuka kama harufu ya maiti iliyooza kumsingizia Lowassa kwa Ushenzi wenu!
 
Aliyeifirisi Tanzania ni kikwete na mkapa na mnao huko CCM.chama cha majambazi.
Chama cha Mafisi!
1454254695426-jpg.320420

1459663364666-jpg.334425
 
Tukisema ukweli tunaambiwa ukawa/ chadema, ila kiukweli hatuto fungwa midomo eti kisa kuna watu watatutukana, watatukejeri, watatutishia maisha nk, tatizo la tanesco kulipa iptl nk, waziri aoni ni moja ya sababu zinanazo fanya tanesco ishindwa kujiendesha kwa ufanisi? Ikiwa mkuu wa nchi ameweza kumtumbua mkurugenzi, kwanini asiitumbue hii mizimwi ya ambayo watanzania tuna amini kuwa ndiyo chanzo cha tanesco kuto fanya kazi kwa ufanisi? Au mkuu wa nchi anataka watanzania tutembee uchi barabarani ndiyo itajua kwamba mikataba ya iptl ivunjwe!? Tutaendelea kukuombea kama kweli utakuwa na nia ya dhati ya kutuondolea watanzania matatizo, na moja la matatizo yetu ni hili la kulipa iptl. Kinyume na hapo tunakuona kama shetani mwenye maneno wazuri uku dhamira yako ikiwa ovu. Kwenye uzuri tutasifia na kwenye ovu tutakemea. Tanzania ni ya kwetu sote, pamoja na sisi watu masikini. Hivyo basi muheshimia kama ulivyo kuwa sio mvivu wa kutumbua hayo unayo yaita majibu, basi tunaomba na hili la mikataba mibovu ya tanesco lisikutie uvivu kutumbua.
 
Sidhani kama mramba kupandisha umeme yalikuwa ni maanuzi yake mwenyewe lazima alikaa na bodi ya TANESCO ilijadili na ikabariki. Bodi na yenyewe itumbuliwe tuu. Wameshindwa kushauri vema tanesco.
 
Tanesco Waliomba Umeme Upandishwe Ewura ndio wakapandisha tena kwa viwango walivyoviamua wao sio vile walivyoamua Tanesco, Magufuli kamwonea Tu Felichism Mramba kwa Kuwa anachuki na Wachagga au Watu wa Kaskazini, si Mnamkumbuka Anne Kilango Malechela?
Kama ni Wa kuwajibisha ni EWURA maana ndio waliotoa Uamuzi wa Kupandisha Umeme na Kutangaza Pia. Huyu Njemba Magufuli Ni Mnafiki wa Kunuka and as far as he is not fair or truthful I don't have no respect for him
Ushahidi huu hapa.
 
Mtoa mada hana anacho kielewa. Mawazo yake, fikira zake, nguvu zake ni kuihujumu/ kupambana na serikali tu. Uzuri ni kwamba hata uongee/ uandike vipi against na serikari ya magu wananchi sasahivi ni waelewa mno! Wanakusoma, wanakuona lakini mwisho wasiku they mark you as MAMULUKI. Vita hiyo hamtashinda, ila endeleeni kula pesa hao wafadhili wenu. Watanzania ni waelewa sanasana.
Oh yea?
 
Vitu vingine unashangaa afu unasikitika na baadae najiuliza ni kweli hizo skendo zote watu walivyokwapua hela serikali haijui au ni kutoa kafara uonekane unafanya kazi? Escrow watu wamekwapua hela mchana kweupe na wanafahamika leo tunaletewa mahakama ya mafisadi kwa mbwembwe afu baadae mtu anajitokeza anasema mahakama haina mafisadi wa kuwashitaki haya maigizo ..........basi tu only in Tz.
 
Back
Top Bottom