Japan wanatutengenezea vi baby Walker (vits na passo) na mitambo kibao!!!! Kwa ajili ya hayo tunawaunga mkono marekani na washirika wake.Hao S Korea na Japan nawaonaga kama masnitch
Hatukubaliani na ubabe wa marekani! Hiyo ndo sababu kubwa!Japan wanatutengenezea vi baby Walker (vits na passo) na mitambo kibao!!!! Kwa ajili ya hayo tunawaunga mkono marekani na washirika wake.
Nini sababu ya kuwaunga mkono korea?
Hatukubaliani na ubabe wa marekani! Hiyo ndo sababu kubwa!
Anayejifanya mbabe kapata mbabe!
Ndio mkuu,kiite kwa jina languUnataka nikutengenezee chako peke yako ?
Mkuu NK hawana uchumi!!! Uchumi wao ulishakufa kitambo, wanatafuta wa kufa nae...Nawaonea huruma Wananchi wa N.Korea,uchumi wao utayumba sana,na sababu tu ni dogo anataka kutunisha msuli.Ikumbukwe kuwa hapo walipo wanaishi ndani ya vikwazo na bado wanajiingiza vitani.
Usijali mkuuNdio mkuu,kiite kwa jina langu
Mimi ninahisi USA anavyoattack NK anaenda kama kivuli cha UMOJA WA MATAIFA.
kabla ya kujadili outcomes ya hii vita lazima mjue chanzo. Chanzo ni "silaha za nyuklia"
Majaribio ya mara kwa mara ya makombora ya nyuklia yanayofanywa na Korea Kaskazini mbali na taarifa za uchokozi yanaendelea kutia wasiwasi mbali na kuyakasirisha hata mataifa ya eneo hilo.
Ikumbukwe silaha za nyuklia zinatishia amani na utulivu, jukumu la Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kwamba, inadhibiti utengenezaji na matumizi ya silaha za kinyuklia kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya kizazi kijacho na ulimwengu katika ujumla wake.
Madhara ya matumizi ya silaha za kinyuklia linaweza kuwa ni janga la kimataifa na watu wengi wataathirika. Kwaiyo hii sio vita ya USA tu, bali UN na dunia kwa Ujumla..
Ushabiki ukae pembeni uyu NK akiendelea na izo fujo zake haitishii tu kwa mhasimu wake ambaye ni marekani bali hata sisi athari zitatukuta kwa namna moja au nyingine.. NK lazima apingwe kwa nguvu zote!
KabisaPamoja na ngonjera hizo zote, NK hawaiwezi kwa sasa
Walishamshindwa kitambo ndiyo maana mpaka sasa US, JAPAN na S.KOREA hawalali usingizi wakimwogopa NK.
Vice president wa US anazunguka huku na kule kutafuta msaada wa kumshambulia NK.