Steve Nyerere alitoa shukrani kwa Wabunge baada ya kuzungumzia swala LA dawa za kulevya: maana yake?

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
Mazingira ndio yalisababisha aseme vile lakini mimi sikuwahi kuonana nae ila baadae alikuja kutoa shukrani kwa wabunge kuongelea lile suala na hata baada ya sauti nilitaka kumpeleka mahakamni lakini aliwahi kuomba radhi”-Mbunge Mlinga



Hii maana yake ni nini? Je ni kweli aliwashawishi? Nawaza tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…