Mbona unawakimbia wenzako??.Nitarud ss hiv
Mshukuru Mungu kwa kile alichokupa, ninaheshimu sana technology siku hizi, kama kweli unataka kujua Kiingereza soma vitabu, ingia you tube wanakufundisha pronunciations.Najuta kusoma bush! Mpaka sasa nina degree ila kingereze sijui
Cc:shiloleZe Mimi ze i don't know speak Swahili
Aaaaahhaaaah
Huwa napata taabu sana nikikutana na mzungu huwa nahisi kufa kufaMshukuru Mungu kwa kile alichokupa, ninaheshimu sana technology siku hizi, kama kweli unataka kujua Kiingereza soma vitabu, ingia you tube wanakufundisha pronunciations.
Kuna kaka mmoja alikuwa kipanga kweli enzi tunasoma, alimaliza UDSM na kwenda USA kwa Masters. Nilipokutana nae ananiambia wazungu walipata shida kumwelewa pronunciation yake, tulikumbuka alivyokua anatuacha darasani. Kwakweli debates clubs zirudishwe zilitupa confidance.Huwa napata taabu sana nikikutana na mzungu huwa nahisi kufa kufa
tukuntu yu???Nakumbuka enzi za darasa la sita, mpaka darasa la saba; kitu cha "tag question" ilikuwa balaa tupu.
"You took my pen"
"________________"
(Malizia mwenyewe)
Msondo ngoma ilikuwa na raha yake asee.