Nina mashaka na figure....kama ni ya kweli hao ni wa kutumbuliwa na kung'olewa kizazi kabisa ili mbegu za kifisadi zisienee Zaidi!Hii ndio Tanzania. Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria imetoa mapendekezo kwa mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), kurarakisha mchakakato wa ujenzi wa jengo lao ili kuokoa Sh.billioni 600 wanazolipa kwa mwaka
Chanzo: Mtanzania