Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,792
- 5,111
Duuu!Kwa hiyo kama lipo shavuni ni kukata kichwa.What?????? ina mana wanalipa 50bil kwa mwezi? huu ni wizi mkubwa sana kuwahi kutokea, CAG asogeee hapo haraka sana, hili jipu haliitaji kutumbuliwa bali kukata kiungo kizima.
Duuu!Kwa hiyo kama lipo shavuni ni kukata kichwa.
Hivi kuna ofisi ya serikali inakodishwa kwa Tshs 50,000,000,000/= kwa mwezi? Hii ni kufuru!Hii ndio Tanzania. Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria imetoa mapendekezo kwa mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), kurarakisha mchakakato wa ujenzi wa jengo lao ili kuokoa Sh.billioni 600 wanazolipa kwa mwaka
Chanzo: Mtanzania
Kumbuka kwamba hii ni mamlaka sidhani kama ina matawi mikoa mingine, kama ndio kwa ajili gani?Hii ni pango ya ofisi moja namaanisha makao makuu ya SSRA au wana ofisi nyingine zilizoko kwenye mikoa mingine?
Potelea mbali kikatwe tu,kwani nyoka aki kuuma kichwani ili sumu isi sambae haraka mwilini kamba utafungia wapi kama si shingoni,upo bado?Duuu!Kwa hiyo kama lipo shavuni ni kukata kichwa.
Haiwezekani jamani nini hiki kwenye hii kisiwa ya amani???? kama ni kweli basi JPM kazi anayoAisee hapana hii haiwezekani