Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,215
3,682
Jamani kwa wale wapenzi wa muziki wa bongo flevaa hebu tujikumbushie matukio, bifu yaliyowahi kubamba miaka ya nyuma ENZI za bongo FLEVA kitambo hiko yaliyowahi kuhit.

1.moja kati ya matukio ilikuwa ni DUDUBAYA KUMPIGA MR.NICE NA KUMUUMIZA .

2.TUKIO LA WATU KULA UGALI KATIKA UZINDUZI wa albamu ya mtoto wa get I Kali diamond jubilee

3.bifu LA sister p na ZAY b KIPINDI WAKO kwenye chat.

4.Tukio LA east coast kupigwa mawe uwanja wa taifa na wahuni wa TEMEKE .

5.bifu LA wasanii wa Tmk na eastcoast

6.mwanadada sitta alivyonusurika kupigwa ENZI za uzinduzi wa albamu ya UGALI ya jumanature.

7.tukio LA wadada kubakwaa hii ilikuwa viwanja vya jagwani hii ilikuwa show ya buree ENZI za jk anafanya kampeni baada ya kundi LA Tmk WANAUME

8.tukio LA ali choki MZEE wa FARASI alipodondoka juu ya FARASI hadi akazimiaa katika show yake flani ivi.

9.BIFU YA ISPECTA NA JUMANATURE hii ilikuwa kitambo

10.TUKIO LA dully syskes kupigwa maweee hii ilikuwa fiesta 2002 na wahuni wa TEMEKE.

Haya jamani mnakumbuka nini lakini pia hebu ongeezeni matukio tujikumbushiee
 
Ray c akila penzi nono mwisho mwampamba yan enzi hizo namuona ndio mwanamke pekee ulimwenguni mzuri...eti leo teja! Maisha safari ndefu ulo nyuma usisimame endelea kuja wapo utakaowakuta na utakaowapita
 
Ray c akila penzi nono mwisho mwampamba yan enzi hizo namuona ndio mwanamke pekee ulimwenguni mzuri...eti leo teja! Maisha safari ndefu ulo nyuma usisimame endelea kuja wapo utakaowakuta na utakaowapita
Dah ray c ametoka mbali mnoo nakumbuka nilianza kumsikia akiwa presenter wa clous FM .

Badae nikajaga kumsikia anaimba

Akaja akijiita kiuno bila mfupaaa dah leo hii eti amekuwa tejaaa ni KWELI MAISHA safali ndefuu
 
Mahsein Awadh kuhusishwa na kashfa ya Ugomora, Picha zake zikazagaa kwenye mitandao na kwenye magazeti ya Eric... Akajitetea alikuwa kwenye mradi wa filamu yake mpya, ... kujisafisha akaona atoe movie kweli ya "Nimekubali Kuolewa". sasa hatujui ile ilikuwa ni mradi kweli au jamaa ni MGOMORA. God Knows!
 
Hahaaaa mkuuu aisee dah umechekesha sana maana umenikumbushia ENZI nikiwa pugu boy kuna MSHIKAJI alikuwaga anakujaga na magazeti ya udako tukawa tunaisoma hii habari
 
Kuna show moja ya mwaka mpya binti mmmoja alicheza ragga/reggea diamond jubilee alikuwa anakata sana viuno. Akanogewa akaamua kutuonyesha maziwa/chuchu zake kwa kuvua blauzi yake
 
Kuna show moja ya mwaka mpya binti mmmoja alicheza ragga/reggea diamond jubilee alikuwa anakata sana viuno. Akanogewa akaamua kutuonyesha maziwa/chuchu zake kwa kuvua blauzi yake
Hahaa halafu hiyo kalii sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…