Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 11,964
- 10,326
DC wa kigamboni
Sasa kwanini huwa anavaa hayo madude yanayosemwa na mtoa mada?
DC wa kigamboni
Kama kuchagua brand soud kachagua,anajipa shida muda mwingi kwa kuvaa mask,akitaka kula lazima afunue kofia lake,hivi najiuliza kwenye matukio ya kijamii inakuaje,msiba,kuchimba kaburi,harusi,na kama ameoa alienda na mask ukweni?kama ndiyo basi kamuoa mtoto wa chid benzi
masihara hayo binamuNamepata ka wivu flan hivi had nime angusha glass yangu ya maji hapa
Huyo hapodaah yan yule jamaa hta sura yake siijui do sijui yukoje,,,,
Sasa kwanini huwa anavaa hayo madude yanayosemwa na mtoa mada?