Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,255
- 9,744
Nimesikiliza wanasheria wengi wakidadavua huo mkataba, hawana viwango wa kuingia mikataba kwa niaba ya serikali.
Kwa kuanzia tu hakuna mkataba usiokuwa na stabilisation clause. Hakuna mkataba wa kimataifa usiokuwa na sehemu neutral ya kutatua mgogoro; hiko kitu hakipo. Wengi hawajui processes za ADR (alternative dispute resolution, hadi kufikia arbitration).
Wengi hawajui arbitration inaongozwa na industry experts in neutral area na arguments hazitumii sheria za nchi ambayo arbitration inasikilizwa isipokuwa contract terms (either expressed or implied by national laws za nchi iliyoingia mkataba). Lengo la arbitration ni kutafuta neutral ground tu ya kutafsiri hayo mambo,
Wengi hawajui lengo la stabilisation clause ni kulinda mkataba na mabadiliko ya baadae yaliyovutia mazingira ya uwekezaji kufanyika. Wengi hawajui time decision ya mkataba inategemea muda wa ROI na nafasi ya mwekezaji kuvuna.
Ni kwamba hawa watu wana uelewa mdogo sana wa law of contract; wakati kwa wenzetu ni module tu kwenye masomo ya biashara.
It’s just shameful kusoma uwezo mdogo wa uelewa wa wasomi wetu on how FDI contracts works.
Serious, inasikitisha jamii kuwa na uwezo mdogo hivyo.