Someone tell me am crazy or silly; ina maana kuwa na mtu ambaye huna hisia naye kimapenzi?

ok, tuseme hakuingiza umee wake kwangu but kwenye maandalizi kabla ya tendo has.. umeelewa sasa? sex napenda but kama mtu hum`feel dah, af kwa mimi mwanamke mara nyingi ntafanya sex kama nina sababu (eg, kumpeda or kumtaman mwanaume..), other than that nakua nipo tuu kama gogo!
Kwahiyo una zaidi ya mwaka hujafanya?!

Mm nmeshaanza kukuvutia hisia hapa
 
Pole mdg wangu

Labda jamaa akiona tigo ipo tofauti au wakat mnakazana ulikuwa unajamba mfululizo akadhani huna marinda

Kama huna hisia nae achana nae hamna jingine unaingiza miaka 29 nw kuwa makini

Samahani lkn.
aisee umejua kunichekesha
 
santeeeee sana, nadhani nilitaka mtu wa kunipa makavu live kama hivi yani.. nadhani hiyo factor ya age inanisumbua.. sijui why and fact kwamba sina feelings na huyu mtu.. asante kw akunitoa katika dilemma
Ishi leo!!Kwanza unazidi poteza muda na nafasi kwa wengine!!Mama Ishi!!Sasa sijakuambia uvue pichu ovyo!!
Kama kuna kitu haujawahi fanya..kifanye huu ndyo muda wake!!Anza mazoez ya kucontrol genye!Utaleta mrejesho!!Kwanza kumuwaza tu huyo jamaa unaleta ukomavu wa sura!!
 
sasa jamani kwenye foreplay hyo tigo yako yeye aliiona vipi? au mlivua nguo zote na hata kama mngevuana nguo huko nyuma alipaona vp, najaribu kuelewa nashindwa
 
Mpaka sasa sijaelewa kwanini still uko na huyo jamaa, au ni pesa? Maana ina maana gani kuwa na mtu ambae huna hisia nae? Ili umfurahishe nani?
Usijethubutu kufanya lifetime commitment na mtu ambae hauna hisia nae, mwisho wenu hautokuwa mzuri.
 
Aiseeee hakuna kitu kigumu km kuwa na mtu ambae humfeel, dah yaan ni mateso balaa. Ishawahi kunitokea hii. Jamaa alinipenda sana tena mno kila nilichotaka nilipewa na vingine nilipewa ht bila kuomba ila mm sasa sikuwa na hisia ht kidogo. Yaan sikuwa nataka ht kukiss wala kukumbatiana nae, simu yake nilipokea kwa kutaka, nisipotaka nakaa ht miezi miwili sipokei simu yake.
 
uuwi pole, what did you do or how did you end it?
 
sasa jamani kwenye foreplay hyo tigo yako yeye aliiona vipi? au mlivua nguo zote na hata kama mngevuana nguo huko nyuma alipaona vp, najaribu kuelewa nashindwa
haaha, yes, ilifika hatua tulikua naked wote (of which i regretted kuvua baada ya kuambiwa hayo maneno), na kwa wanaoelewa foreplay nadhani wanajua ni jns gani mtu anaeza fika hatua hiyo, cant write everything on this wall.
 
Habari zenu,
Came to earth 1988, should call myself a woman, not a little girl anymore.
swali linaniwazisha. Hivi kuna maana ya kukaa kwenye relationship kama mtu hum`feel, in short, huyu mtu huna hamu naye kimapenzi kata kubusu tuu ni shida.

Ok, kuna jamaa nilimjuaga kama mwaka hivi, mwanzoni nilikuaga na mshawasha nae sana yani sana, he is very caring, loving, good looking , mchapa kazi na anahitaji relationship yenye future.

I was happy to find him, but came siku moja tuka have romance moment, kesho yake akaja akanituhumu kwamba anaona mimi nilishawahi fanya mapenzi kinyume na maumbile na alinikejeli na kuniongelesha kwa dharau sana kitu ambacho kiliniuma na ukizingatia sijawah fanya hicho kitendo.

From hiyo siku jaman, hisia zangu juu yake zilichange, na nilimwambia aniambie kwa nini anahisi mimi nilishawahi fanya hivyo au kitu gani amekiona katika mwili wangu kimpelekee kusema vile, hajawahi nijibu hilo swali hadi leo.

Sadly from that day ikawa ngumu kwangu hata kum`hug or have romance with him japo kuwa alikua very nice to me, so ikawa namuona kama mshikaji wa kawaida tutasaidiana mambo or mawazo but faragha sitaki hata aniguse.

Nimejipiga moyo kweli nitabadilika nikawa nipo tu na yeye hadi mwenyewe akajua kwamba sim`feel au simtamani kimapenzi nikamwambia wazi since ulinambiaga jambo fulani my feelings has changed, he apologized nikasamehe like sitaki kuwa nasema hilo jambo everytime.

Sasa, shida ni hiyo kweli nimejaribu hata kumshirikisha Mungu anitoe hicho kifungo jamani, hisia zangu haziamkii juu yake, at some-point nikaona niwe naangalia porn halafu ndiyo nikutane naye but mhh ikagoma.

So nikaona jamaa kweli ana nia nzuri lakini tutaishije kama wanandoa kama sina hamu ya kufanya nae tendo, sawa am growing old but is it worth it kuwa na mtu sim`feel just because atanioa? Ikawa naanza kumsahau, sitaki kuonana nae mara kwa mara or kuongea nae ikawa nadra like we were losing touch. And najua with time angechoka na angepata mtu wa kuwa nae faragha. sikutaka hiyo intokee nikiwa nae.

Swali langu , je ina maana kuwa na mtu katika uhusiano kama huna hisia nae kimapenzi?
Love is commitment not feelings, kuendelea kumpenda mtu kwa namna ileile ni vigumu,unachotakiwa ni kujitoa kwake,kuchukuliana.mapenzi Yale ya 100% mwanzo mwisho ni kwenye movies tu,ukibadilisha Leo utakutana na mwingine utahisi hisia zimepotea utatafuta mwingine, swali ni je ingekuwa mmeoana ungefanyaje?
 
Aiseeee hakuna kitu kigumu km kuwa na mtu ambae humfeel, dah yaan ni mateso balaa. Ishawahi kunitokea hii. Jamaa alinipenda sana tena mno kila nilichotaka nilipewa na vingine nilipewa ht bila kuomba ila mm sasa sikuwa na hisia ht kidogo. Yaan sikuwa nataka ht kukiss wala kukumbatiana nae, simu yake nilipokea kwa kutaka, nisipotaka nakaa ht miezi miwili sipokei simu yake.
Kwakweli hicho kitu usiombe kikukute, alafu unakuta the guy is sooo nice to you, ila kila uijilazimisha umpende moyo unagoma.
 
haaha, yes, ilifika hatua tulikua naked wote (of which i regretted kuvua baada ya kuambiwa hayo maneno), na kwa wanaoelewa foreplay nadhani wanajua ni jns gani mtu anaeza fika hatua hiyo, cant write everything on this wall.
Kidole kilihusika nini!!!
 
Love is commitment not feelings, kuendelea kumpenda mtu kwa namna ileile ni vigumu,unachotakiwa ni kujitoa kwake,kuchukuliana.mapenzi Yale ya 100% mwanzo mwisho ni kwenye movies tu,ukibadilisha Leo utakutana na mwingine utahisi hisia zimepotea utatafuta mwingine, swali ni je ingekuwa mmeoana ungefanyaje?

Mkuu ebu fafanuz. Inawezekanaje kuwa committed kwa mtu ambaye uwepo au kutokuwepo kwake hakukupi shida yoyote ?
 
Mkuu ebu fafanuz. Inawezekanaje kuwa committed kwa mtu ambaye uwepo au kutokuwepo kwake hakukupi shida yoyote ?
Uwezekano upo kama unapenda,hiyo hali ya kuhisi uwepo wake au kutokuwepo kwake hakukupi shida ni temporary, ukiendelea kumpenda hiyo hali itaisha na mtaendelea na mapenzi yenu,cha msingi ni kutogive up.
Mkuu ebu fafanuz. Inawezekanaje kuwa committed kwa mtu ambaye uwepo au kutokuwepo kwake hakukupi shida yoyote ?
 
Back
Top Bottom