mukandarasi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 932
- 275
Watanzania..naomba tujenge utamaduni wa kusoma reports mablimbali kabla ya kulaumu. Hata waandishi wa habari wafanyehivyo kabla ya kuandika uwoungo . Nimesoma report ya EWURA ya kuongeza bei za umeme. Ukweli ni kuwa matumizi ya kawaida yaani D1 hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya 75 Units. Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini. Kama unataka ushahidi jisomee link hapo. Asanteni.
http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/12/TANESCO-Tariff-AGIZO-2016-December.pdf
Hapa napo panatakiwa kuangaliwa. Wafanyakazi wa TANESCO kupata umeme wa bure haijakaa vizuri. Kama wanataka kutuaminisha kwamba kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake basi iwe kwamba wafanyakazi wa shirika la Bima wapate bima bure, wafanyakazi wa TPDC wapate mafuta bure, wafanyakazi wa Ujenzi wapate barabara kwenda majumbani kwao bure, wafanyakazi wa Halmashauri wasilipe tozo, watoza kodi wasilipe kodi, nk.Yaani kutumia umeme mwingi ni dhambi? Nilidhani anayetumia umeme mwingi ndiye apunguziwe maana anachangia sana tofauti na yule anayetumia umeme kidogo ambaye mayumizi yake ni limited sana.
Pia Tanesco nao wapunguze umwinyi wa kujipatia UNITS za bure nyiiiingi majumbani mwao hasa kwa watendaji wenye vyeo.
Mtu mmoja UNIT 700 kwa mwezi nani anabeba huo mzigo wa kumlipia?
Aaargh!!! Wizi mtupu.
Waziri ndio kashabadili gia angani!Endeleeni kupiga porojoNi kawaida yao kuimba nyimbo za kupotosha na wengine kuzipokea hivyo hivyo bila kupata undani wake! Ni kawaida yao lakini! Hii si ajabu sana!
Una maana gani kusema hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya unit 75!Watanzania..naomba tujenge utamaduni wa kusoma reports mablimbali kabla ya kulaumu. Hata waandishi wa habari wafanyehivyo kabla ya kuandika uwoungo . Nimesoma report ya EWURA ya kuongeza bei za umeme. Ukweli ni kuwa matumizi ya kawaida yaani D1 hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya 75 Units. Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini. Kama unataka ushahidi jisomee link hapo. Asanteni.
http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/12/TANESCO-Tariff-AGIZO-2016-December.pdf
Kinachoudhi zaidi ni kuwa wafanyakazi wote wa EWURA na TANESCO wao wanatumia umeme bure wenye gharama za mabilioni ya fedha.
Mkuu, kuna mama mmoja kule Mtwara wakati wa Kipindi cha Malumbano ya hoja kilichorushwa na ITV nadhan August na kurudiwa Desemba 30 mada ilihusu Wananchi wa Mtwara wamejiandaa vipi na Ugunduzi wa Gesi.Wakipandishiwa hao wanaoutumia umeme mwingi bado gharama zinarudi kwako wewe unayetumia umeme mdogo.
Gharama za uzalishaji zinaingizwa kwenye bidhaa na wao wanaendelea kula faida yao.
Embu tafakari kabla ujalopoka,anaetumia unit 75 ni mtu mwenye chumba kimoja labda,lkn nyumba kama nyumba huwa kwa mwezi unit 100 au 120,sasa hapo ni kama umepanda kwa wote tu.Watanzania..naomba tujenge utamaduni wa kusoma reports mablimbali kabla ya kulaumu. Hata waandishi wa habari wafanyehivyo kabla ya kuandika uwoungo . Nimesoma report ya EWURA ya kuongeza bei za umeme. Ukweli ni kuwa matumizi ya kawaida yaani D1 hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya 75 Units. Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini. Kama unataka ushahidi jisomee link hapo. Asanteni.
http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/12/TANESCO-Tariff-AGIZO-2016-December.pdf
Kwa watumiaji wa bure ongeza mawaziri na manaibu wao, pamoja na wale wanaolipiwa bills za umeme kwa nafasi zao za uongozi kwa kodi zetu, hao hata gharama ipande vp hawaoni mzigo coz mzigo wao tulishabebeshwa.Watumiaji wa units chini ya units 75 majumbani ni wale wanaotumia umeme kwa ajili ya taa tu usiku kuanzia saa 1 hadi saa 4 wanapolala.
Ukitumia TV au pasi unavuka hiyo 75 units. Balaa zaidi ukiwa na jiko la umeme, jokofu, water heaters, mashine ya kufua na kukausha, airconditioners, microwave, blenders, electric blanket - - hapo jiandae kulipa kama sh milion moja kwa mwezi.
Kinachoudhi zaidi ni kuwa wafanyakazi wote wa EWURA na TANESCO wao wanatumia umeme bure wenye gharama za mabilioni ya fedha.
Ni kweli.Watumiaji wa units chini ya units 75 majumbani ni wale wanaotumia umeme kwa ajili ya taa tu usiku kuanzia saa 1 hadi saa 4 wanapolala.
Ukitumia TV au pasi unavuka hiyo 75 units. Balaa zaidi ukiwa na jiko la umeme, jokofu, water heaters, mashine ya kufua na kukausha, airconditioners, microwave, blenders, electric blanket - - hapo jiandae kulipa kama sh milion moja kwa mwezi.
Kinachoudhi zaidi ni kuwa wafanyakazi wote wa EWURA na TANESCO wao wanatumia umeme bure wenye gharama za mabilioni ya fedha.
Unafahamu kwamba LUKU haina cha less than 75 unit ina flat rate? Grow at your age, hata kama tunatetea mamlaka sio kwa Uongo huoTUWENI WAKWELI HIVI KUNAUBAYA GANI WAKUWAONGEZEA GHARAMA YA UMEME WATU KAMA MIGODI YA BUZWAGI AMBAO TAA ZINAWAKA NAKUTUMIA UMEME MKUBWA ILI ANGALU TUJIWEKE SAWA KUKABLIANA NA UKAME.FAIDA YA BUZWAKI KWENYE DHAHABU HAIPO KWANI SEHEMU KUBWA MIKATABAY 3% TULIOINGIA NDO ILIISHATOKA.HIVYO ANGALAU KUWACHARGE KATIKA SERVICE KAMA HIZI ZA UMEME IATKUWA BORA. REPORT INAONYESHA HAKUNA NYONGEZA KATIKA MATUMIZI YA NYUMBANI.SASA UBAYA NI UPI?AU TUKAE HARAFU BAADAYE TUANZE KUINGIA MIKATABA YA IPPS BAADA YA UKAME KUTUPIGA.KUPINGA KILAKITU HATA KAMA KINALOGIC NI UPPUZI. WANASIASA NAO WAWE WANATUMIA UBONGO KUFIKILIA NA SIYO KULIPUKA
Hawa wanaotumia umeme bure ndio wanaotuongezea gharama maana wanatumia bila kiasi, na ndio hao wepesi kutubambikizia gharama hizo sisi punda waoWatumiaji wa units chini ya units 75 majumbani ni wale wanaotumia umeme kwa ajili ya taa tu usiku kuanzia saa 1 hadi saa 4 wanapolala.
Ukitumia TV au pasi unavuka hiyo 75 units. Balaa zaidi ukiwa na jiko la umeme, jokofu, water heaters, mashine ya kufua na kukausha, airconditioners, microwave, blenders, electric blanket - - hapo jiandae kulipa kama sh milion moja kwa mwezi.
Kinachoudhi zaidi ni kuwa wafanyakazi wote wa EWURA na TANESCO wao wanatumia umeme bure wenye gharama za mabilioni ya fedha.
Kutopandisha umeme haitoshi. Tunataka watoe tamko la kushusha bei ya umeme, maana ndiyo ahadi yao.Asante Mhongo kwa kuskia kilio cha wanyonge
...Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini.