Someni report ya EWURA kabla ya kulaumu

Watanzania..naomba tujenge utamaduni wa kusoma reports mablimbali kabla ya kulaumu. Hata waandishi wa habari wafanyehivyo kabla ya kuandika uwoungo . Nimesoma report ya EWURA ya kuongeza bei za umeme. Ukweli ni kuwa matumizi ya kawaida yaani D1 hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya 75 Units. Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini. Kama unataka ushahidi jisomee link hapo. Asanteni.

http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/12/TANESCO-Tariff-AGIZO-2016-December.pdf

Acha ujinga wewe,hao watumiaji wakubwa gharama za uzalishaji zikipanda huoni nao watapandisha bei? Au wamekuahidi kukupa bure mahitaji yako?
 
Yaani kutumia umeme mwingi ni dhambi? Nilidhani anayetumia umeme mwingi ndiye apunguziwe maana anachangia sana tofauti na yule anayetumia umeme kidogo ambaye mayumizi yake ni limited sana.

Pia Tanesco nao wapunguze umwinyi wa kujipatia UNITS za bure nyiiiingi majumbani mwao hasa kwa watendaji wenye vyeo.

Mtu mmoja UNIT 700 kwa mwezi nani anabeba huo mzigo wa kumlipia?

Aaargh!!! Wizi mtupu.
Hapa napo panatakiwa kuangaliwa. Wafanyakazi wa TANESCO kupata umeme wa bure haijakaa vizuri. Kama wanataka kutuaminisha kwamba kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake basi iwe kwamba wafanyakazi wa shirika la Bima wapate bima bure, wafanyakazi wa TPDC wapate mafuta bure, wafanyakazi wa Ujenzi wapate barabara kwenda majumbani kwao bure, wafanyakazi wa Halmashauri wasilipe tozo, watoza kodi wasilipe kodi, nk.

Hili la TANESCO liangaliwe upya. Huenda wanapandisha umeme kutokana na innefficiency na wao hawapati maumivu ya gharama kupanda hivyo hawajali.

WAFANYAKAZI WA TANESCO WALIPE UMEME KAMA WATUMISHI WENGINE WA MASHIRIKA YA UMMA.
 
Ni kawaida yao kuimba nyimbo za kupotosha na wengine kuzipokea hivyo hivyo bila kupata undani wake! Ni kawaida yao lakini! Hii si ajabu sana!
Waziri ndio kashabadili gia angani!Endeleeni kupiga porojo
 
Watanzania..naomba tujenge utamaduni wa kusoma reports mablimbali kabla ya kulaumu. Hata waandishi wa habari wafanyehivyo kabla ya kuandika uwoungo . Nimesoma report ya EWURA ya kuongeza bei za umeme. Ukweli ni kuwa matumizi ya kawaida yaani D1 hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya 75 Units. Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini. Kama unataka ushahidi jisomee link hapo. Asanteni.

http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/12/TANESCO-Tariff-AGIZO-2016-December.pdf
Una maana gani kusema hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya unit 75!
 
Kinachoudhi zaidi ni kuwa wafanyakazi wote wa EWURA na TANESCO wao wanatumia umeme bure wenye gharama za mabilioni ya fedha.

Hii si sawa, jeshi walipie umeme halafu ewura na tanesco watumie bure! Tanesco na ewura walipe bill za umeme.
 
Wakipandishiwa hao wanaoutumia umeme mwingi bado gharama zinarudi kwako wewe unayetumia umeme mdogo.
Gharama za uzalishaji zinaingizwa kwenye bidhaa na wao wanaendelea kula faida yao.
Mkuu, kuna mama mmoja kule Mtwara wakati wa Kipindi cha Malumbano ya hoja kilichorushwa na ITV nadhan August na kurudiwa Desemba 30 mada ilihusu Wananchi wa Mtwara wamejiandaa vipi na Ugunduzi wa Gesi.

Mama mmoja alinifurahisha aliposhangazwa kuona eti mtu akitumia Unit nyingi za Umeme anaongezewa gharama, akahoji mtu akitumia umeme Unit pungufu maana yake hakununua umeme mwingi kwa mwezi, lakini yule anunuaye umeme mwingi kwa maana ya Unit anaongezewa bei. Akahoji hii ikoje? Akaomba bei ziwe sawa tu hasa kwa watumiaji wa viwanda vidogo na majumban, tarrif ziwe sawa kwa wote.
 
Watanzania..naomba tujenge utamaduni wa kusoma reports mablimbali kabla ya kulaumu. Hata waandishi wa habari wafanyehivyo kabla ya kuandika uwoungo . Nimesoma report ya EWURA ya kuongeza bei za umeme. Ukweli ni kuwa matumizi ya kawaida yaani D1 hakuna nyongeza kwa wanaotumia chini au zaidi ya 75 Units. Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini. Kama unataka ushahidi jisomee link hapo. Asanteni.

http://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2016/12/TANESCO-Tariff-AGIZO-2016-December.pdf
Embu tafakari kabla ujalopoka,anaetumia unit 75 ni mtu mwenye chumba kimoja labda,lkn nyumba kama nyumba huwa kwa mwezi unit 100 au 120,sasa hapo ni kama umepanda kwa wote tu.
 
siku zote naamini kuna baadhi ya viongozi wetu sio watanzania...sasa huyu kaandika nini...bila shaka ni foreigner huyu...dharau hii sasa ...kwa hiyo anatushauri tupige anasa badala ya kuwa wazalishaji
 
Huyo anayeunga mkono umeme kupanda msimshangae kwan ndio wale wale watoto wa mama hata bei ya umeme hawaijui
 
Kitachoendelea kututesa wabongo ni uwezo wetu wa kuelewa mambo, hatuwez kusoma hata picha hatuoni, tuendelee kushangilia tu, tulisema serikali inayodhani chanzo pekee cha mapato ni kodi kutoka kwa mwananchi na huku tuna asset nyingi ni tatizo, sa wabongo tukiachwa hatua moja kodi yatalipa makampuni sisi hatutalipa tunashangilia eti hii serikali ya masikini, na hku mnufaika wa mwisho wa bidhaa ndo mtoa kodi apo, kweli human thoughts are limited their needs, mnyime mtu akil au yaelekeze mawazo yake kwenye kufikir kuhusu mahitaj yake ili umtawale vizur
 
Watumiaji wa units chini ya units 75 majumbani ni wale wanaotumia umeme kwa ajili ya taa tu usiku kuanzia saa 1 hadi saa 4 wanapolala.

Ukitumia TV au pasi unavuka hiyo 75 units. Balaa zaidi ukiwa na jiko la umeme, jokofu, water heaters, mashine ya kufua na kukausha, airconditioners, microwave, blenders, electric blanket - - hapo jiandae kulipa kama sh milion moja kwa mwezi.

Kinachoudhi zaidi ni kuwa wafanyakazi wote wa EWURA na TANESCO wao wanatumia umeme bure wenye gharama za mabilioni ya fedha.
Kwa watumiaji wa bure ongeza mawaziri na manaibu wao, pamoja na wale wanaolipiwa bills za umeme kwa nafasi zao za uongozi kwa kodi zetu, hao hata gharama ipande vp hawaoni mzigo coz mzigo wao tulishabebeshwa.
 
Watumiaji wa units chini ya units 75 majumbani ni wale wanaotumia umeme kwa ajili ya taa tu usiku kuanzia saa 1 hadi saa 4 wanapolala.

Ukitumia TV au pasi unavuka hiyo 75 units. Balaa zaidi ukiwa na jiko la umeme, jokofu, water heaters, mashine ya kufua na kukausha, airconditioners, microwave, blenders, electric blanket - - hapo jiandae kulipa kama sh milion moja kwa mwezi.

Kinachoudhi zaidi ni kuwa wafanyakazi wote wa EWURA na TANESCO wao wanatumia umeme bure wenye gharama za mabilioni ya fedha.
Ni kweli.
Nimekuwa nikijiuliza hao wanaotumia chini ya Units 75 wanawezaje maana umme kwangu natumia TV, pasi mara chache, taa kama kawaida na Friji. Huwa units zinavuka 100. Sasa hao watumiao units chini ya 75 tunaweza kuwaita watumiaji wa umeme kweli? Maana kwa matumizi madogo niliyoainisha hapo kwangu, ninaivuka kwa mbali hiyo threshold ya units 75
 
TUWENI WAKWELI HIVI KUNAUBAYA GANI WAKUWAONGEZEA GHARAMA YA UMEME WATU KAMA MIGODI YA BUZWAGI AMBAO TAA ZINAWAKA NAKUTUMIA UMEME MKUBWA ILI ANGALU TUJIWEKE SAWA KUKABLIANA NA UKAME.FAIDA YA BUZWAKI KWENYE DHAHABU HAIPO KWANI SEHEMU KUBWA MIKATABAY 3% TULIOINGIA NDO ILIISHATOKA.HIVYO ANGALAU KUWACHARGE KATIKA SERVICE KAMA HIZI ZA UMEME IATKUWA BORA. REPORT INAONYESHA HAKUNA NYONGEZA KATIKA MATUMIZI YA NYUMBANI.SASA UBAYA NI UPI?AU TUKAE HARAFU BAADAYE TUANZE KUINGIA MIKATABA YA IPPS BAADA YA UKAME KUTUPIGA.KUPINGA KILAKITU HATA KAMA KINALOGIC NI UPPUZI. WANASIASA NAO WAWE WANATUMIA UBONGO KUFIKILIA NA SIYO KULIPUKA
Unafahamu kwamba LUKU haina cha less than 75 unit ina flat rate? Grow at your age, hata kama tunatetea mamlaka sio kwa Uongo huo
 
Watumiaji wa units chini ya units 75 majumbani ni wale wanaotumia umeme kwa ajili ya taa tu usiku kuanzia saa 1 hadi saa 4 wanapolala.

Ukitumia TV au pasi unavuka hiyo 75 units. Balaa zaidi ukiwa na jiko la umeme, jokofu, water heaters, mashine ya kufua na kukausha, airconditioners, microwave, blenders, electric blanket - - hapo jiandae kulipa kama sh milion moja kwa mwezi.

Kinachoudhi zaidi ni kuwa wafanyakazi wote wa EWURA na TANESCO wao wanatumia umeme bure wenye gharama za mabilioni ya fedha.
Hawa wanaotumia umeme bure ndio wanaotuongezea gharama maana wanatumia bila kiasi, na ndio hao wepesi kutubambikizia gharama hizo sisi punda wao
 
...Sasa kama hatutaki kuchangia hata kidogo ili umeme uzalishwe mwingi nakuwafikia watanania wote, je serikali itafanya nini.

You mean tuchangie kwenye kulipa zile milioni 400 za IPTL kila siku? Serikali ina mengi ya kufanya na Muhongo alisema bei ya Umeme haitopanda bali itashuka. Tunamsubiri awape mbinu sasa.
 
Back
Top Bottom