Soko la mnadani Kariakoo kufutwa?

Polisi wa Msimbazi walikuwa sehemu ya uovu huu, kwani ukienda kutoa taarifa pale kuwa jamaa wanataka kukuuzia vitu vywako vilivyoibiwa cha ajabu dak.10 nyingi wanakupigia simu kukueleza 'wewe si mjanja unataka kuja na polisi sasa tuone na vitu hupati tena'. Nchi ilioza hii!!
uozo haujaisha mpaka pavunjwe pale
 
Mkuu, ukoo wetu haujasambaa bado maana naona ndugu wengi wako Shinyanga vijijini, na maisha ni ya shida sana.
Huko Tinde si nasikia ukienda kujisaidia nyuma ya nyumba na kajembe kadogo tu unanyea almas!au hamzijui?
Waambie waokote kila chenye mfano wa chupa na kioo mutakuwa ma-don
 
Huko Tinde si nasikia ukienda kujisaidia nyuma ya nyumba na kajembe kadogo tu unanyea almas!au hamzijui?
Waambie waokote kila chenye mfano wa chupa na kioo mutakuwa ma-don
Hahahahaaa..... hawana elimu juu ya madini hata hiyo almasi hawaijui vile ilivyo, njoo utusaidie kutafuta almasi.
 
Labda Ngoja Niwadokeze One Thing Kuhusu Polisi.

1. Kwanza Lazima Tujue Kwmb Polisi Wanadili Na Wahalifu Na Hiyo Ndiyo Kazi Yao Kubwa Sana. Kulinda Usalama Wa Raia Na Mali Zao Si Jambo Dogo.

2. Polisi Wako Hivi, Kama Serikali Iliyopoa Madarakani Inapiga Kazi Nao Watapiga Kazi Kufa Na Kupona Na Utawapenda Kama Wew Si Muhalifu Lakn Utawachukia Kama Wew Ni Muhalifu.

3. CP Sirro, Upele Umempata Mkunaji.
a). Miongoni Mwa Makamanda Unaoweza Kuwataja, Sirro Huwezi Kumuacha.

b). CP Sirro Ni Mtu Ambaye Kwanza Anaipenda Kazi Ya Polisi, Pili Anajali Shida Za Askari Wa Chini Yake, Tatu Anachukia Uhalifu.

c). Operation Nyingi Alizofanya Zimefanikiwa Vizuri Sana, Coz Hayumbishwi Na Anajiamini So Kwa Serikali Hii Ya Mh.JPM Yani Sirro Atafanya Kazi Bila Shaka Coz Hakuna Ile Huyo Ni Fulani Anajuana Na Waziri Fulani Sijui.

d). Anaroho Mbaya Kwa Wahalifu Yani Anawachukia Vibaya Sana. Yani Kama Wew Ni Muhalifu Ukifika Mikononi Mwake Hapindishi Atanyosha Kuanzia Upelelezi, Hati Ya Mashitaka Na Mengineyo.

Serikali Ilopita Ililifanya Jeshi La Polisi Lionekane Halina Kazi Coz Watu Walikuwa Wanabebana Yani Hata Kama Mtu Kafanya Kosa Hiwez Kumfanya Lolote Na Atakutukana.

Tutegemer Jeshi La Polisi Kufanya Kazi Vizuri Majira Haya Ya JPM Maana Haki Inatendeka Hakuna Mambo Ya Kubebana Hata Kidogo.

HITIMISHO.
Kazi Ya Polisi Ni Ngumu Ndio Maana Ktk Taasisi Zote Polisi Ndio Hulaumiwa Sana.
Tushirikianenao Kutokomeza Uhalifu, Kwa Majira Haya Ya Mh.JPM Naamini Tutafanikiwa Kama Mnavyoona Jinsi Majambaz Wanavyouawa Sasa.
 
Kiongozi ukiona hivyo ujue wakubwa wameshikwa masikio.. Ila kiufupi wanajiaibisha sana wanauza utu wao. Kha!! Kweli njaa mbaya sana ndio maana profesa ananyimwa cheo lazima alie lie kama kocho
Hahaha nimeuona huo mgahawa nilipoenda kumpokea rafiki angu yaani nilishangaa duuuu hapa kweli hatuna viongozi daaa yaani mwanzo ilikuwa pale ni sehemu ya kushushia abiria saiz mgahawa....wasipotumbuliwa pale baadae watajenga mwingine kwenye runway za ndege
 
Ndio zinaitwa black market ama ? Gerezani mwisho wa mambo yote pale unapata mpaka Spea ya helikopta
Kariakoo nafikiri ukivuka Big Born kama unaelekea Fire along Msimbazi kuna mnada pale na upo kisheria, ila siku hizi sio maarufu saaaana. Kariakoo Gerezani ni utapeli kwa kwenda mbele ila sehemu kubwa vyombo vya dola vinalea ule utapeli
 
Kariakoo nafikiri ukivuka Big Born kama unaelekea Fire along Msimbazi kuna mnada pale na upo kisheria, ila siku hizi sio maarufu saaaana. Kariakoo Gerezani ni utapeli kwa kwenda mbele ila sehemu kubwa vyombo vya dola vinalea ule utapeli
Hilo la hapo karibu na big bon ndio hasa kitovu cha wizi wa spare zote za magari hapa Dar
Kule gerezani kuna kazi nyingi za halali , kuna utapeli tapeli lakini kwa sehemu kubwa ni kwenye vitu vya ujenzi
 
Back
Top Bottom