Zanzibar yapiga marufuku mambo yafuatayo katika kipindi cha mwezi wa ramadhan

Status
Not open for further replies.

silent lion

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,200
1,628
1.Kufungua magenge ya kuuzia chakula wakati wa mchana.
2. Kula au kunywa au kuvuta sigara au kulewa hadharani.
3. Kuvaa nguo zilokuwa sio za stara au nguo za kubana.
4. Kueka filamu zilokua hazina maadili katika vyombo vya usafiri wa umma.
5. Vyombo vyote vya usafiri visafiri mchana.

ZANZIBAR INATOA ONYO KALI KWA WOTE WATAKAOKIUKA MAAGIZO HAYA.

Pia soma:
Vitu vingine vilivyowahi kupigwa marufuku Zanzibar
 
1.kufungua magenge ya kuuzia chakula wakati wa mchana.
2. Kula au kunywa au kuvuta sigara au kulewa hadharani.
3. Kuvaa nguo zilokuwa sio za stara au nguo za kubana.
4. Kueka filamu zilokua hazina maadili katika vyombo vya usafiri wa umma.
5. Vyombo vyote vya usafiri visafiri mchana.

Smz inatoa onyo kali kwa wote watakaokiuka maagizo haya.

kwa hio haya yanaruhusiwa mfungo ukiisha?sikujua,
NAVUMILIA KUISHI TANZANIA
 
1.Kufungua magenge ya kuuzia chakula wakati wa mchana.
2. Kula au kunywa au kuvuta sigara au kulewa hadharani.
3. Kuvaa nguo zilokuwa sio za stara au nguo za kubana.
4. Kueka filamu zilokua hazina maadili katika vyombo vya usafiri wa umma.
5. Vyombo vyote vya usafiri visafiri mchana.

SMZ INATOA ONYO KALI KWA WOTE WATAKAOKIUKA MAAGIZO HAYA.
eeeh!
kumbe na Zenji pia kuna upvmbavu. Uhuru uko wapi hapo?
hivi Zenji ni nchi ya kiislam ktk katiba yake??
Naomba juzwa, sifahamu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom