Siwezi kumsamehe muongo

Sipendi uongo, simpend mtu muongo. Mtu bora aseme ukweli kuliko kunidanganya.

Nikigundua kama umenidanganya siwezi kusamehe hata kama umedanganya mara 1.Siwezi kumsamehe muongo, nakasirika sana mtu akiniongopea.

Je, ni kawaida kushindwa kusamehe? Nifanye nini ili niweze kusamehe kutoka moyoni?
kama ulishawah kosea na ukasamehewa yakupasa usamehe toka moyoni,ila kama hukwahi kukosea kama hvyo ulivyokosea then uko sahihi kutosamehe
 
"mtu ambaye hajawahi kudanganya, ni yule ambaye hajawahi kujitoa sadaka kwa ajili ya jambo muhimu maishani mwake"
 
Sipendi uongo, simpend mtu muongo. Mtu bora aseme ukweli kuliko kunidanganya.

Nikigundua kama umenidanganya siwezi kusamehe hata kama umedanganya mara 1.Siwezi kumsamehe muongo, nakasirika sana mtu akiniongopea.

Je, ni kawaida kushindwa kusamehe? Nifanye nini ili niweze kusamehe kutoka moyoni?

utagombana sn na watu, walimwengu wenyewe iman imekwisha.
 
na ambae hajawahi kuongopa maishani mwake mwote
awe wa kwanza kutokusamehe!!!!!

inaonekana wewe muongo sana ,ndo mana ukilipiziwa unaumia

tatizo gubu, ukikosewa samehe!!
gubu uwache...
 
nenda milimani ukaanzishe jamii yako mana hii ye2 itakupasua kichwa, uongo ndo umeifikisha hapa dunia katka nyanja zote, ko hapakufai
 
Hakuna binadamu mkamilifu hata mmoja. Ndiyo maana sisi wakristo tunaposali ile sala tuliyofundishwa kuna sehemu tunaomba 'utusamehe dhambi zetu kama nasi tunavyosamehe walio tukosea...' Maana yake ni kuwa hatuna ukamilifu. Tuna dhambi tumezirithi toka kwa Babu zetu. Hivyo tunahitaji toba ya kweli.
 
Sipendi uongo, simpend mtu muongo. Mtu bora aseme ukweli kuliko kunidanganya.

Nikigundua kama umenidanganya siwezi kusamehe hata kama umedanganya mara 1.Siwezi kumsamehe muongo, nakasirika sana mtu akiniongopea.

Je, ni kawaida kushindwa kusamehe? Nifanye nini ili niweze kusamehe kutoka moyoni?
wwe ndio mweshe shida maana akili yako inakutuma kuwa watu wote wakuige wwe!! badilika mungu kaumba wengine wawe waongo sasa upeo wako ndio mdogo ndio maana unalala humu na kauzi kako haka!!
 
Ukweli ambao utakuumiza tu afu haukujengi wala haukusaidii chochote wa nini? si ni bora udanganywe tu kusave situation. Wakati mwingine uongo unakuaga mzuri ati
Hatimaye amani ndani ya moyo hutoweka kwann uishi kama robot,uongo ni uongo kwa namna yoyote
 
wwe ndio mweshe shida maana akili yako inakutuma kuwa watu wote wakuige wwe!! badilika mungu kaumba wengine wawe waongo sasa upeo wako ndio mdogo ndio maana unalala humu na kauzi kako haka!!
Acha uongo bwana, ulikuwepo Mungu aliposema nendeni mkadanganye? Shetani ndio baba wa uongo, na waongo ni wafuasi wake. Huhitaji kutafakari ukijiona u muongo tayari unajua baba ako ni nani.
Uongo ni pamoja na kufanya vitu ili kumuaminisha mtu jambo ambalo halipo, hata bila kusema neno
 
kma unaamini mungu anayajua maisha ya mwanadamu to uumbaji mpaka kifo chake ya nn utokwe na povu? unataka kniambia mungu hajui kuwa wwe kwa mfano tu kesho utafanya nn?? akijibu hilo ndio utaelewa na maanisha nn??
 
Mungu wako wa herufi ndogo utamuelezea mwenyewe
 
Back
Top Bottom